This is from Me by Yvonne Chakachaka

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,543
14,451
Huu ni wimbo ulioimbwa na Mwanamuziki wa Africa ya Kusini Mwanamama Yvonne Chakachaka moja ya nyimbo bora dunian na zenye maudhui ya kuiambia dunia kuhusu upendo.

Huu wimbo uliimbwa na Mwafrika haukupata sana promotion, Huwa najiuliza kama huu wimbo ungekuwa umeimbwa na Cindy Lauper au Madonna Wazungu wangeu promote kwa namna gani?

Au Wasanii wangapi wa Kike waliokuja miaka ya 1990, 2000 wangeufanya Cover Wasanii wangapi?

Huyu Mwanamama aliimba hongera sana Yvonne Chakachaka.


View: https://youtu.be/ue7JbxHbs2s?si=s5XrNivnIxjtjzpI
 
Chakachaka mbona kajizolea tuzo nyingi sana mwanamama huyu
Nauzungumzia huu wimbo ungekuwa umeimbwa na Wazungu kama Cindy Lauper au Madonna huko Duniani , ungezoa tuzo ngapi?
Au ni Wasanii wangapi wangeufanyia Cover? Celine Dion, Nicole Scherzinger, Mariah Carey n.k
 
155ecab06b2e4942beaaadb87e95cd40.jpg

Sema bi mkubwa enzi zake alikuwa chombo hasa.
 
Huu ni wimbo ulioimbwa na Mwanamuziki wa Africa ya Kusini Mwanamama Yvonne Chakachaka moja ya nyimbo bora dunian na zenye maudhui ya kuiambia dunia kuhusu upendo. Huu wimbo uliimbwa na Muafrika haukupata sana promotion, Huwa najiuliza kama huu wimbo ungekuwa umeimbwa na Cindy Lauper au Madonna Wazungu wangeu promote kwa namna gani ? Au Wasanii wangapi wa Kike waliokuja miaka ya 1990, 2000 wangeufanya Cover Wasanii wangapi???
Huyu Mwanamama aliimba hongera sana Yvonne Chakachaka

View: https://youtu.be/ue7JbxHbs2s?si=s5XrNivnIxjtjzpI

Huko duniani hawa amini kama vizuri vyaweza toka Africa.
Roho za kwa nini
 
Back
Top Bottom