Wimbo upi? Kumbukumbu ipi?

Endless love na no air zinanikumbusha mwehu mmoja niliyewahi kumpenda
 
Azala kiseawa ya Ghatto, nakumbuka anko alitoka tabora akaenda zenji, kipindi kile vijana wengi wa tabora hasa vijijini waliamini ukitaka kutoka lazima uende zenji, bac anko kila akirudi anatuletea zawadi familia nzima, alikuwa na cassette yake anapiga bolingo sana ila mimi nilimkubali sana Gatto mpaka kesho
 

Oi BBW
 
Last edited by a moderator:
If i culd turn back the hands of tym na when a women love zote za r.kelly zinankumbusha m2 wangu mmoja had leo najuta kumpoteza cz she was realy a wife material had sasa cjapata hata anayemfikia hata kidogo!!so sad
 
wimbo wa kassimu mganga-awena huwa nakumbuka kipindi niko o'level nikimsihi mpenz wangu(mke kwa sasa) kuwa huu wimbo kamwe usituhusu sisi.
 

Duh!!! unaandika lakini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…