Wimbo upi? Kumbukumbu ipi?


Thats why you go away Sio Wa Michael Learns The Rock Mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa umenikumbusha mambo ya kuandika barua kwenye zile karatasi zenye maua na kupulizia perfume. ..
Dahhh!

Hivi sijui kama bado zipo zile karatasi hahaa mtu akiikosa ile yupo tayari achore moyo uliochomwa mshale
Aisee
 
Nakumbuka 'my love' wa west life dedication ya kwanza kabisa kupewa iliandikwa kwenye barua ndeefu ya maua maua na Perfume juu.
Aisee hizo zima naona zimeshatupwa mkono....
 
How Am I supposed To Live Without You Wa Michael Borton, Unanikumbusha Tukio Moja Baya Sana, Pale Mpenzi Wangu Wa Moyo na maisha Yangu Hasnat Alipogongwa na Gari Mbele ya Macho Yangu ni Tukio Ambalo Halitafutika Milele.
 
Aisee hizo zima naona zimeshatupwa mkono....

Siku hizi si dijitali. Kila kitu Watsap sijui mara Facebook. Hata ile raha ya kumuona mtu analia lia na mwandiko wake mbovu hata haipo.
 
Lionel Richie? Nah. MLTR sista.
 
Last edited by a moderator:
these are the unforgettable moments am talking about...hutasahau kamwe as long as hiyo "sweet life" ya fally ipupa ipo hai....kweli life with music is sweet

hiyo nyimbo kwangu haichuji, naweza kui-reply hata siku nzima na siichoka
 
teh teh teh! we jamaa kwa takwimu kama mzee pombe magufuli
 
"shika mikono yangu"....huu mwimbo upo kitabu cha nyimbo za kikristo za Kilutheri.Ninapo pitia magumu na kukata tamaa hua maneno ya mwimbo huu yana "replay" kuchwani.Nafarijika na kupata nguvu mpya!!
 
Kwangu ni I dont wanna miss a thing by aero smith in late ninties ulikuwa unanipa hope sana hasa kwenye kutimiza ndoto zangu kimapenz na kimasomo
 
679 - Fetty Wap Feat. Remy Boyz

Unanikumbusha majuzi nikiwa Lenox mall niki-browse ndani ya Nieman Marcus ghafla nikausikia unatwanga kwenye PAS.

Kugeuka nikamwona red bone mmoja akinenguka.....nikasema 'that's what's up'.


*Huyo mchuchu mweupe hapo mwanzoni....she's da bizness**
 
Last edited by a moderator:
i will run away by the corrs nakumbuka nimeaza penzi la kwanza yani full kuiachai japo sa hivi alipo tena
 
Siku hizi si dijitali. Kila kitu Watsap sijui mara Facebook. Hata ile raha ya kumuona mtu analia lia na mwandiko wake mbovu hata haipo.
Hahahaaaaa wiki haipiti mtu hujaenda stationery kununua!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…