Wimbo Mpya wa King Kiba (Mediocre)

"Ushamba mwiko kwa mtoto wa kariakoo, sichezi na dada zangu, nacheza na dada ako, mixer mkong'oto"- Alikiba[mediocre]
 
Jamaa kaona watu wameacha kumcompare na Mond, ushindani unaanza kuwa wa Mond na Konde,kaamua kutoa Diss track kwa mond ili ajibiwe.

Mond akimjibu tu, Konde anapotea tena midomoni kwa watu, Itakuwa ni Kiba na Mond Tena πŸ˜‚.Ili Konde aweze kusurvive kwenye huu mtego wa branding, hana budi kumjibu Alikiba kabla Mond hajafanya hivyo.
IT'S ALL ABOUT BRANDING.
 
Utasikia si vishabiki mbugira tu havijui mziki
 
Yanii mwanaume unaandikaa andikaa vitu kama ambaruty hafu chukiii kama mdada asee ...hafu mbna unapoteza sifa za kigentle mzee utapelekwa Mombasa mende wengi
Kalale wewe mbona mwanamke tunakuchaga kila siku eboooooh
 
Kwahiyo views zinapima ubora wa wimbo, watoto wa siku hizi sijui mmekuwaje dah!
Yeah Zina pima na ndomana ikiwa nzuri wanakuwa wengi na ikiwa Niko Kama hii ni flop ya kiwango Cha PHD, SGR na HD. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
"Ushamba mwiko kwa mtoto wa kariakoo, sichezi na dada zangu, nacheza na dada ako, mixer mkong'oto"- Alikiba[mediocre]
Kalale dogo unaleta mashudu kwenye jukwaa la Diamond THE G O. A. T[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…