Wimbo mpya wa Aslay

Nukta5

JF-Expert Member
Jun 7, 2014
1,180
1,276
Aslay anazidi kuonyesha kwamba anazo nyimbo za kutosha kwenye kichwa chake bila kutangaza kama wengine yeye ni vitendo tu.
Barnaba, Ruge, Rip Ndiku
 
Attachments

  • Aslay - Hauna.mp3
    3.3 MB · Views: 298
Aslay anazidi kuonyesha kwamba anazo nyimbo za kutosha kwenye kichwa chake bila kutangaza kama wengine yeye ni vitendo tu.
Barnaba, Ruge, Rip Ndiku

Kiba kazi anayo, hapa Aslay, kule Venessa, na huku Gigy Money
 
umezaliwa juzi wewe, kiba anashindana na nani Tz hii? ni sawa na wewe unashindana na mama yako kubeba mimba...halafu watu waseme tuone sasa nani atazaa kitoto chenye afya!!

kiba alipambanishwa na wengi enzi hizo (unataka nitaje?) na hawapo,ni mzee mkongwe, ka inspire wengi na yeye ndio kamtoa diamond kwa wimbo wake wa kwanza kimrekodia studio yake!he is a king

Hana mpinzani na washabiki wake ni royal, hata akitoa wimbo mbaya namna gani, kuna washabiki wake watampenda tu...unajua kwa nn? wameanza nae kuanzia utotoni..kuanzia nakshi nakshi, cinderela, maria, mac muga......hizi dushelele, aje, a kipusa hazimfanyi kumsimika kwa nguvu kuwa hi king....bali anatamalaki kwa style zake, tabia zake na kipaji anacho! angalia live music coke studio uone

Ni sawa na kusema akin usher, chriss, adele, edy, beyonce wako juu zaidi ya akina whitney na michael jackson!! unachekesha
 
Kaka mbona matusi tena, na wala sijawahi kumtukana mtu humu, mbona unapaniki sana kaka, kuanza mziki zamani ndio kujua mziki?
Aslay, Vanessa, Gigy Money ndio level za Kiba kwa sasa, na ajiangalie sana, huyo Aslay atamtoa kwenye ramani ya muziki Kiba
 
Huyu dogo..tatizo lake moja tu,nyimbo zake zinafanana sana...yaani hana melody nyengine...yani kupanda na kushuka kwa sauti hakutofautiani kbs...asipojiangalia atachuja mapema sana.vyenginevo awe anajipa muda wakutoa hizo ngoma zake. Yaani hata beats zake wanamkazia tu,hazina utofauti.

Kikubwa ni kwamba anajua kuandika,akipata washauri au wataalamu wa rhythim atakuwa more fire.
 
Back
Top Bottom