Wimbo Huu: Kuniletea Mke Mwenza Ndani Nyumba Si Jambo La Kushangaza Hilo...

ahhh then if it is mine he shouldnt bring another woman in my house and in my presence .... and if he thinks it is his house and he can do whatever he wanna do...then let be it.... if he mistreat me i wouldnt mind moving out of his villa into a one bedroom flat....
Watoto wa kishua bwana yaani we umeona maisha ya dizaini kwenye red hapo ni maisha magumu sana eeeh. Just curiosity noname. By the way I like your guts. Hivi umeolewa wewe?
 
DW sijaona dezaini one-bedroom can be HUGE Studio FULLY FURNISHED in Luxury Full Serviced Building (with swimming pool, elevator & health club)..... hivi hujasoma posts zangu i am sure I have mentioned my husband several times.... he says Hi to ALL JF members...
 
PK thats why it is important for any woman to be financial independent... mie nikiona karaha imezidi I pack my bags and leave...

mie cku hizi naona yeye ndio ata pack, muda wa kukimbia kimbia cna kabisa!
 
Nyamayao very Good if you have kids yes u should stay and let him hit the road.... I could have done the same thing If I have kids but I am a childless (by choice) I don't mind moving out....
 
Nyamayao very Good if you have kids yes u should stay and let him hit the road.... I could have done the same thing If I have kids but I am a childless I don't mind moving out....

haa noname muda wa kukimbizana na watoto hapana!...kwa upande wako nakuelewa dear.
 
haa noname muda wa kukimbizana na watoto hapana!...kwa upande wako nakuelewa dear.
thats why I love u Nyamayao haki tena ... yani wanawake wangukuwa wanajua haki zao wasingeonewa hivyo..eti mpaka mtu anakuletea hawara yake ndani wewe umekaa :hail: (over my dead body)
 
thats why I love u Nyamayao haki tena ... yani wanawake wangukuwa wanajua haki zao wasingeonewa hivyo..eti mpaka mtu anakuletea hawara yake ndani wewe umekaa :hail: (over my dead body)

hivi anaanzaje? mana hata sielewi kabisa, yaani wanakokotana huko anamwambia twende kwangu cjui kitu gani na kitu gani, heee! wacha tu.
 
duh mie naona hafiki hata kumleta ndani .................by the time anamleta anakuta nyumba nyeupeeee sipo zama nyingi sana :D
 
Kwenye 80s kulikuwa na Wimbo ukiimbwa na Vijana Jazi (Kama Sikosei), baadhi ya maneno yake yalikuwa yakisikika kama hivi

"... Kuniletea Mke mwenzangu ndani ya Nyumba Si Jambo la kushangaza hilo...
" Kinachoniuma ni kulala sebuleni mimi na watoto..."

Sijui kama mtunzi alikuwa anaimba "real life story" au ni hali ya kubuni

Najaribu kufikiria nyakati kama hizi za leo, Obuntu unaingia nyumbani na hawala, halafa unamwambia Mkeo akupishe ulalae chumbani na hawala, yeye akalale sebuleni! Sipati picha!

Dah.....Kitambo sana mkuu.....Hawa walikuwa ni Washirika Tanzania Stars Band(Watunjatanjata) na ulikuwa ni utunzi wake hayati Eddy Sheggy(kama sikosei)......Nadhani ilikuwa ni story ya kubuni tu.....Wimbo ulikuwa mzuri sana huu.....Na mwanamama ilibidi ajiulize ni kwa nini mzee kamletea mke mwenzie ndani ya nyumba ilhali yeye bado wamo.....Haya chini ni baadhi ya maneno ya wimbo huo:

"Ninachukua kioo mimi ooh(mama yoyoyo) najitazama kidogo mimi ooh(mama yoyoyo) uzuri bado ninao mimi ooh(mama yoyoyo) lakini mume wangu(ananifanya mimi spare tyre)............Mume wangu baba Sophia eeeeh
".....

Yaani nyimbo za zamani zilikuwa zinabeba ujumbe kweli wakuu
 
Yaani nyimbo za zamani zilikuwa zinabeba ujumbe kweli wakuu

Bravo bravissimo Nkwingwa! Yaani maudhui ya nyimbo za zamani wacha bana. Nipo nasikiliza 'rangi ya chungwa' hapa yaani hadi mwili unasisimka!!

Ndio maana mimi nimeshindwa kabisa ku-convert kwenye hizi bongo fleva. Ni msanii mmoja tu ambaye huwaga napenda mistari yake naye ni Mr. Sugu - Joseph Mbilinyi. Ila kwangu mimi huyu hata simhesabu kama mbongofleva. Zaidi ya hapo mimi ni mtu wa Juwatta Jazz, Tancut Almasi, Vijana Jazz, Kida Waziri na wengineo wa enzi hizo bila kumsahau Dokta Remmy Ongala....hahaaha nyimbo za huyu jamaa kwa kweli zina akisi ukweli na uhalisi wa maisha. Jaribu kusikiliza wimbo wa "kifo" halafu utafakari anachokizungumzia...yaani ukweli mtupu. Zamani oyeee bana.
 
Huu wimbo uliimbwa na Marehemu Eddy Sheggy (Edward Shambung'o??) miaka ya '80 akiwa Vijana Jazz kama sikosei. Miaka ile waimbaji wa kike walikuwa adimu na roles zao ziliimbwa na wasanii wa kiume, sio ajabu ndiyo maana aliimba hivyo kwa kuwa kiuhalisia hana roho ya mwanamke.

Kingine, miaka ile kurudi nyuma tabia za wanawake kwa waume zao zilikuwa tofauti na ndoa za sasa, miaka yetu hii wanawake wana nguvu zaidi, haki zaidi na hata kiuchumi wanajitegemea.
 
Dah.....Kitambo sana mkuu.....Hawa walikuwa ni Washirika Tanzania Stars Band(Watunjatanjata) na ulikuwa ni utunzi wake hayati Eddy Sheggy(kama sikosei)......Nadhani ilikuwa ni story ya kubuni tu.....Wimbo ulikuwa mzuri sana huu.....Na mwanamama ilibidi ajiulize ni kwa nini mzee kamletea mke mwenzie ndani ya nyumba ilhali yeye bado wamo.....Haya chini ni baadhi ya maneno ya wimbo huo:

"Ninachukua kioo mimi ooh(mama yoyoyo) najitazama kidogo mimi ooh(mama yoyoyo) uzuri bado ninao mimi ooh(mama yoyoyo) lakini mume wangu(ananifanya mimi spare tyre)............Mume wangu baba Sophia eeeeh
".....

Yaani nyimbo za zamani zilikuwa zinabeba ujumbe kweli wakuu

Nimekumbuka huu waliimba Watunjatanjata, katika albamu yao iliyofuata. Wakati huo waliondoka baadhi yao na wakiongozwa na Hamza Kalala kwenda kuunda 'The Bantu Group', waliobaki wakajipanga upya kwa kumchukua Muhina Panduka 'Toto Tundu' na kuunda 'Njata 2'.

Enzi hizo hivi vitu unapata RTD katika kipindi cha 'Misakato'.
 
Dah.....Kitambo sana mkuu.....Hawa walikuwa ni Washirika Tanzania Stars Band(Watunjatanjata) na ulikuwa ni utunzi wake hayati Eddy Sheggy(kama sikosei)......Nadhani ilikuwa ni story ya kubuni tu.....Wimbo ulikuwa mzuri sana huu.....Na mwanamama ilibidi ajiulize ni kwa nini mzee kamletea mke mwenzie ndani ya nyumba ilhali yeye bado wamo.....Haya chini ni baadhi ya maneno ya wimbo huo:

"Ninachukua kioo mimi ooh(mama yoyoyo) najitazama kidogo mimi ooh(mama yoyoyo) uzuri bado ninao mimi ooh(mama yoyoyo) lakini mume wangu(ananifanya mimi spare tyre)............Mume wangu baba Sophia eeeeh
".....

Yaani nyimbo za zamani zilikuwa zinabeba ujumbe kweli wakuu
Hui wimbo una matata maana Eddy Sheggy hakua mtunzi wa huu wimbo. Huu ulitungwa na mgosi mwenzake Muhina Panduka lakini Eddy ndiye muimbaji wakati wote wakiwa Washirika. Eddy alipohamia Bima Lee alihama nao maana ulikua unapigwa katika kumbi tu za muziki. Ndipo tombwili lilipoanza Washirika nao wakaenda Studio na Bima wakaenda Studio. Kwahiyo kuna version mbili za huu wumbo. Wa BIMA LEE na WASHIRIKA.
BIMA LEE na EDDY SHEGGY

WASHIRIKA NA MUHINA PANDUKA
 
Jamani mtu mwenye nyimbo hizi anitumie atapata SODA BARIDI
1. ELI WANGU LOVY LONGOMBA
2. HANIFA (OKWEBHA) MZEE MAKASSY
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom