Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Japo sio fisiem ila kale ka wimbo ka ccm mbele kwa mbele...tumeipenda wenyewee..na wavimbe wapasuke..
Kananifanya nisahau kwa muda shida za ccm kwa muda....
Chilambo ndio nzuri...diamond hapana
I like that song pia..... mbele kwa mbele
wa Walter Chilambo pia mzuri, na ule wa Peter Msechu..
wa Diamond hapana haunikoshi