Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,125
- 8,627
Ni wimbo pamoja na video ambapo msanii Bobi Wine ameutunga na kuutengeza akiwa kizuizini nyumbani kwake yaani hatakiwi kutoka. Wanajeshi wakiwa nje yeye ndani yuko busy kuujulisha ulimwengu namna Serikali ya M7 inavyotesa raia wake pamoja na wanasiasa. Ukiuangalia huo wimbo hakika utarudia kila unapoisha. Hizi ndizo nyimbo zinazotakiwa kwa kizazi cha kimapinduzi.