Wimbo "Afande" wa Bobi Wine na mustakabali wa Mseveni Uganda na duniani

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
9,125
8,627
Ni wimbo pamoja na video ambapo msanii Bobi Wine ameutunga na kuutengeza akiwa kizuizini nyumbani kwake yaani hatakiwi kutoka. Wanajeshi wakiwa nje yeye ndani yuko busy kuujulisha ulimwengu namna Serikali ya M7 inavyotesa raia wake pamoja na wanasiasa. Ukiuangalia huo wimbo hakika utarudia kila unapoisha. Hizi ndizo nyimbo zinazotakiwa kwa kizazi cha kimapinduzi.
 
Hiyo video ameshutia wapi
Vipande hivyo vilichukuliwa kipindi akifanyiwa kipingo mwaka jana na hiki kipande cha mwanzo alifanyiwa siku ya jumamosi akijiandaa kwenda kwenye onyesho lake live la muziki hata hivyo lilizuiliwa
 
Ahaa..
Asee jamaa anapitia kipindi kizito sana
Vipande hivyo vilichukuliwa kipindi akifanyiwa kipingo mwaka jana na hiki kipande cha mwanzo alifanyiwa siku ya jumamosi akijiandaa kwenda kwenye onyesho lake live la muziki hata hivyo lilizuiliwa
 
Kota pini imeingia kwa nyundo itatoka kwa nyundo,bob wine akamate bunduki aingie msituni.
 
Niko mikononi mwa polisi maisha yangu bado ni mikosi "AFANDEEEE........"

CC. Sugu
 
Back
Top Bottom