Wimbi la wanaume kutafuta wenzi mtandaoni

Wimbi la wanaume kutafuta wenzi mtandaoni

mr promise

Senior Member
Joined
Feb 14, 2015
Posts
142
Reaction score
135
Wasalaam wana JF,

Sikuhizi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kiume kutafuta wapenzi mitandaoni.

Je sababu haswa ni ipi?
Je ni kutojiamini au mitandaoni ndo kuna wapenzi wakweli?
 
Madomo zege hao au wanatafuta wanawake ambao ni easy going, lakn hata wa kike wako kasi kutafuta
 
Sio kila kitu unapaswa kukileta hapa Kama swali unaweza ukafanya hata kautafiti kadogo wewe mwenyewe halafa ndio unaweza ukaja na Uzi Wa haya ndio niliyobaini kwa nini vijana wengi wanatafuta wapenzi katika miatandao. Try to think yourself and avoid someone to do your part.
 
Nyuma ya keyboard tu kutongoza ishu live live mtu atawezea wapi sasa
Hahahaha......kutongoza nayo kipaji usifanye masihara kabisa, nakumbuka enzi hizo tukiwa secondary tulikuwa tunakaririshana maneno ya kwenda kusema, sasa unashangaa ukianza ngonjera zako ukiulizwa swali moja tu point zote zinaevaporate, was real fun
 
Eve bwana, Kwani tukifahamiana mtandaoni nitamtongozea humo?

Mara ya mwisho kukutana live na msichana na kumtongoza was in 2007, baada ya hapo imekuwa online tu.
Ha ha ha online user eeeh, na kupiga ni online?
 
Back
Top Bottom