Wimbi la BAN laiandama Chit Chat...RIS Chilli!

Wimbi la BAN laiandama Chit Chat...RIS Chilli!

Jamani,tulizoea Chit Chat kuwa stress free zone,lakini hali imeanza kujionesha tofauti,na leo bwana Chilli amelambwa BAN baada ya kumtusi jamaa yetu MzunguMndali!
Rest In Server Chilli.

Nani huyu sasa anayenikumbusha huyu kidudu mtu. Yaani nikikumbuka nbashikwa na hasira mbaya!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom