Wimbi la BAN laiandama Chit Chat...RIS Chilli!

Wimbi la BAN laiandama Chit Chat...RIS Chilli!

Woga tupa kulee

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Posts
1,749
Reaction score
1,312
Jamani,tulizoea Chit Chat kuwa stress free zone,lakini hali imeanza kujionesha tofauti,na leo bwana Chilli amelambwa BAN baada ya kumtusi jamaa yetu MzunguMndali!
Rest In Server Chilli.
 
Last edited by a moderator:
Watu wamezidisha ujinga ujinga mwingi humu CC na kusababisha wenzao watukane kwa jazba.
 
Mwaka wa pili huu nakusikia tu huko jela! God fobbid!!!
 
Nilizowea kujiachia huku chitchat nikijua ni "ban free zone" lakini sasa ntakimbilia wapi ili kujiepusha na stress? Pole sana Chilli
 
Last edited by a moderator:
Inasikitisha sana hadi huku nako mambo ya BAN yameingia....!!
 
BAN na iheshimiwe na majukwaa yote...maana hapa JF hakuna hata jukwaa moja mahsusi kwa mijitusi.
 
hata CIELLO KAPOTEZEWA SIJUI WAPI CC is not a good place to stay anymore.
 
:ban: ni unyanyasaji be free 2 do what you want nacyo limitation kibao au kama vp liwekwe jukwaa la beef
 
Back
Top Bottom