Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 24,617
- 43,890
"Kwa taarifa zilizonazo Kutoka ndani tajiri anafanya Pressing sana huko.
Anataka Kabla hajatoa Pesa ya Usajili Msimu huu Kwanza ile Bilion 67 irekodiwe na itambulike rasmi Kama ni Mkopo anaidai Simba Sports
Baada ya hapo waje Kwenye Pesa ya usajili ambayo ameahidi Juzi Kwamba atafanya Usajili Babu Kubwa nayo anataka irekodiwe na itambulike Kama Deni anawadai Simba Simba Sports.
Taarifa hii imetumwa Kwa wajumbe wote wa Bodi, Kama hamjatambua hela ninayotoa Kama Deni hakuna Pesa ya Usajili itatoka.
Na Kwa Mujibu wa taarifa shida haipo Kwa Kamati ya Fedha na Ukaguzi Kwenye Kutambua haya Madeni.
Shida inaonekana Kwa tajiri yeye Kutaka atumie hela tu halafu Klabu iidhinishe Kama Deni bila ya Kufanyika Ukaguzi.Hapa ndo Kuna Mechi.
Kwa Mfano tajiri anasema ametumia Bil 8 Kwenye Usajili msimu uliopita kwa wachezaji 17 wapya.
Baadhi ya Wajumbe wanataka Kuonyeshwa tulifikaje hapa Kwenye hizi Bil 8 Kwa Usajili wa Kina Omary Omary, Jean Charles Ahoua na wengine?
Taarifa zinasema Pamoja na Kuwepo na Kamati ya Ukaguzi ya ndani Simba Sports wameleta Mkaguzi Mwingine wa nje lakini inasemwa bado tajiri hajaonyesha ushirikiano.
Wingu zito bado limetanda Simba Sports, na hii itakuwa Disappointment Kubwa Kwa Fadlu Davids.
Na Kwa binafsi Yangu naona Kama Simba Sports ikijipanga vizuri sasa hivi wana uwezo wa Kusajili bila MO
Tatizo lipo Kwa hii short notes inawezekanaje? Kuna Sajili nyingi Simba wameshindwa Kuzikamilisha Kwa wakati Kwasababau ya hizi Sintofahamu zinazoendelea.
Tajiri huku nje anasema usajili mkubwa unaenda Kufanyika lakini Kumbe ndani bado una masharti kibao."
Ameandika Mchambuzi Wilson Oruma kupitia ukurasa wake wa Instagram.