Wilson Mukama: Public and Private Profile

Hivi CCM ni ya wananchi wote au wanachama? kama wanachama wamemcahgua kelele za nini? za toka wapi?
 

Safiiii! Umeipiga vizuri kaka! Nadhani mtoa mada kwanza hajui tatizo la watu kuhamia mijini! Hana hoja ya msingi zaidi ya kutaka kuonesha Mkama hafai! Kaleta siasa zaidi kuliko ukweli halisi!
 
Hivi CCM ni ya wananchi wote au wanachama? kama wanachama wamemcahgua kelele za nini? za toka wapi?

CCM ni ya wananchi, Kumbuka maneno ya hayati baba wa Taifa. Lakini pia kumbuka kuwa Katibu Mkuu wa CCM ana impact kubwa sana hususani katika aina ya mtu wa kugombea urais katika uchaguzi ujao. Na mtu ye yote atakayepitishwa na CCM ana nafasi sawa na wagombea wengine kuupata urais. Ninachoona mimi hapa si swala la kusema yuko hivi ,yuko vile. Ni suala la system iliyopo. Ni sawa na kuweka supu ya moto kwenye bakuli la baridi. what will happen? Ni supu kupoa au bakuli kuchemka?
 
I'm just so sick of these CCM people. I wish they could just go away.
 
Mwenzenu mchana wote nimeshinda salama lakini baada ya kusoma eti katibu wa uchumi na fedha ZAKHIA Meghji niko hoi. Nashindwa ku koment ngoja nipate nafuu labda kesho
Hivi ni Zakia Meghji yupi vile? Ndiye yule aliyesimamia ukwapuzi wa fedha za EPA zinazoitesa serikali ya CCM hadi leo, mlaghai mkubwa aliyekanusha kutotokea hujuma hiyo Benki kuu (Akijua fika uharamia walioufanya) na baadae kuumbuka na kuwekwa pembeni kwa muda ili 'Wadanganyika' wasahau?
Kama huyo ndiye Meghji anayetajwa basi CCM 2015 wameshindwa kabla hawajaenda uchaguzini.
Tena haishangazi, si alichangia mamia ya mamilioni ati yeye na rafiki zake katika kampeni za kumweka madarakani JK awamu ya kwanza.
ama kweli sikio la kufa halisikii dawa.




 
nduka

Hiyo picha inatutisha wengine please itoe , kichefuchefu Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrh:love:
 
MAKAH;1841571]Huyu ni Mkerewe aina ya Wahaya - tabia sawa. Au la ni Mgita

Makah, Mgita ndo kabila gani na linapatikana wapi hapa Tanzania? Na kabila lina uhusiano gani na utendaji wa mtu?
 
After reading Slidingroof's article between lines, I have concluded that Mtoa hoja anatumia reverse psychology to disseminate his/her message. You don't have to be a neurosurgeon to realize that the author is an ardent supporter of Mr. Mukama....
 
after reading slidingroof's article between lines, i have concluded that mtoa hoja anatumia reverse psychology to disseminate his/her message. You don't have to be a neurosurgeon to realize that the author is an ardent supporter of mr. Mukama....

rufiji lugha hiyo tafadhali.
 
Just thinking aloud, wakuu ? hivi ni chama kipi hapa nchini hakina recycled material?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…