Wilson Mukama: Public and Private Profile

jamani mwacheni mzee wawatu amalzie kaziyake!!! malizia ccm baba
 
Kwa ufahamu wangu wa Mzee Mkama, kuna mambo kadhaa uliyosema ambayo nakubaliana nayo na kuna yale nitakayokuwa mgumu kukubaliana nayo; nitasisitiza haya mawili:

(1) Kuhusu kutembea nje, ni kweli jamaa alitembea sana kwa vile nilikutana naye katika mikutano mingi sana nchi za nje, ambako ndioko nilikomfahamia kwa kiasi kikubwa. Nilikuwa na wasiwasi sana na anakipata pesa za kuhudhuruia mikutanoa ile na ndiyo maana nikahisi kuwa anatumia mikutanoa hiyo kama mkwara wa kuchoteza vijisenti kwa njia ya marupurupu ya safari.

(2) Kuhusu ubaguzi wa watu wa kusini sikubaliani nawe kwa sababu nadhani huenda ndiye aliyechangia sana kwenye mchakato ambao baadaye ulizaa Machinga complex kwa maana ya kutaka kuwe na eneo maalumu ambalo machinga wanafanyia kazi badala ya kusamnbaa sehemu zote za jiji. Huu mpango wa Mchinga complex nina imani kuwa aliupata Tokyo Japan kwenye eneo la Akihabara ambalo lina wafanyabiashara wa aina ya macvjhionga lakini hawazagai sehemu nyingine za jiji. Nina imani kuwa katika mojawapo ya mazungumzo yake alikuwa anataka kutenga mtaa mmoja wa da uwe kwa ajili ya biashara ya machinga tu.
 
Sijaelewa malalamishi yako kwa mods. criticism sio personal opinion? making it your personal view? Mbona article nzima imejaa maoni yako? Is that not your personal view?
 

Believing the previous title was sensationalized to mislead our readers; I am the one of 'JF's unknown moderators' who changed it to reflect its contents. It's just so unfortunate that at times I might do so without seeking your consent. Sorry for the trouble. Hope you have a good day !
 
jamani kweli CCM wameona mbali kumweka،mtu makini kama mkama.
For the first time Dar ilipata shape ya kuonekana baada ya akina Kitwana Kondo kuendesha jiji kama mradi wa familia. Anayeleta profile hiyo ya mkama hamjui mkama.
 
SLIDINGROOF, you are really out of your mental wheels!!
What you have written is pure and authentic CRAP.
Sana sana inaelekea kwenye character assasination,post yako ni juu ya mtu usiyempenda full stop.
Matumizi ya lugha vile vile umeniacha hoi-RACIST? hivi unaelewa maana yake au umeikuta ukitumika nawe ukaamua kuitumia.
Hapa ni pole tu.
 
Huyu jamaa ni mzuri sana kwa masuala ya siasa na uongozi.Nawashauri wenye uwezo wa kutafuta cv yake waisome ndipo watamuelewa vizuri.
 
Japo nafahamu ya kuwa bado haijatolewa rasmi na CCM kwamba huyu ndugu Mukama amejitwalia ukatibu mkuu wa CCM, nimeona niwape reflection ya nchi yetu na jinsi tulivyo na muelekeo mbaya. KWa mujibu wa taarifa za kuaminika (Ref. Mwananchi la Leo), huyu ndugu Mukama alihusika moja kwa moja na kufanya tathmini juu ya wizi wa kura wa CCM uliowapa ushindi kiduchu mwaka jana na inasemekana kamati yake ndio iliyotoa recommendations za umuhimu wa CCM "kujivua gamba". Na hili ndilo linalonifanya niongelee muelekeo wa nchi yetu Tanzania.

Ikumbukwe kuwa Mkama ambaye mpaka leo hii ni mfanyakazi wa serikali na kwa maana hiyo analipwa mshahara kwa kutumia kodi za watanzania wote bila kujali itikadi yao ya kisiasa. Sasa najiuliza, anawezaje baada ya hapo kufanya kazi ambayo kimsingi inakusudiwa kukipa chama kimoja ushindi dhidi ya kingine? Katika hili sisemi kwamba hana right ya kuwa mwana CCM, la hasha. Lakini ethics za kikazi zinamruhusu vipi kuwa mfanyakazi wa serikali na hapo hapo wa CCM?

Ikumbukwe pia kuwa Mkurugenzi anekaimu wa Daily New anyeye pia akiwa mfanyakazi wa CCM aliwahi kuandika editorial wakati wa uchaguzi mwaka jana akisema wazi na namnukuu, "Slaa asahau kwamba anaweza kuuchukua uraisi" kwa maana kuwa alikuwa akiipigia campaign CCM. Ni lipi sasa linalofanya magazeti ya TSN (Daily News na Habari leo) yatambulike kama ya serikali na ya-exist kwa kodi ya watanzania wapatao milioni 43 wakati yanafanyakazi za CCM yenye wanachama wasiozidi milioni 5 kwa mijimu ya takwimu zao wenyewe ambazo naamini zimechakachuliwa?

Niseme wazi kuwa simjui huyu ndugu Mukama lakini ile tu kwamba alikuwa akifanya kazi bega kwa bega na CCM wakati anaishi kwa kodi ya walalahoi ambao wengine si CCM inamfanya nayeye kuwa fisadi kama mafisadi wengine. Vinginevyo, Hawa Ghasia atueleze alitumia vigezo vipi kusitisha mkataba wa Prof. Baregu kwasababu tu ya kugombea uongozi CHADEMA. Au ni vigezo vipi vilitumika kumkatisha kazi Prof. Safari kazi yake pale katika chuo cha diplomasia kurasini?

Na ni kipi kinachofanya kuwa hadi leo baada ya miaka zaidi ya 10 ya kutofanya kazi UDSM, kwanini bado Prof. Lipumba anatambulika kama mkufunzi alie likizo ya kikazi ilhali amekuwa mwenyekiti wa CUF katika miaka yote hii? Wasiwasi wangu ni kwamba sheria tofauti zinatumiwa kushughulikiwa masuala yaliyo sawa. Nini mwisho wa yote haya?

Ama kweli katiba mpya inahitajika Tanzania.
 
Ninavyo mfahamu huyu mzee, ukiachilia utendaji mwingine kwenye siasa anaweza kufanya mzuri!
 
huyu hafai bana...kwanza hana mvuto
 
:A S-confused1::A S-cry::A S angry::mad2::nono::A S 39::A S-confused1::amen::boom::A S-fire1::A S-omg::heh::hatari::A S embarassed::shock::shetani::A S 114::A S confused::mmph::A S thumbs_down::lie::A S 109::wink1::deadhorse::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
 
Is he a politician?
katibu ni mtendaji na wilson ni mtendaji

hebu basi tumpongeze kwamba he is better than Makamba......... Mbona tuko hivi??

Hivi kama Mungu angehesabu makosa yetu kuna mtu angesimama popote//???
 
Mie naona Wilson amwemwagiwa sifa badala ya kumchafua kama lengo la mtoa mada lilivyokuwa. Swala na Influx ya Vijana wenye nguvu kukikmbilia mijini ni nyetisana kwa hali ya Uchumi baadae. Wilson alikuwa na maana nzuri tu kutaka hali ya Maisha na Mazingara ya kiuchumi yaboreshwe vijijini ili vile vinavyopelekea vijana kukimbilia mijini vipatikane huko vijijini na maisha yao yawe bora huko kuliko kuja mijini kwa wingi halafu inapelekea kupata yale ambyo hwayakuyatarajia na wengine kuanza kuwa wahalifu hapa mijini. sasa baya likwapi au uelewa ulikuwa mdogo?
Nyinyi mnaona hafai mbona hamtaji majina ambayo ya watu mnaofikiri wanaweza shika nyadhifa mbalimbali.
Mara nyingi Sisi watanzania tunapenda kuponda tu bila ya kutoa mapendekezo wala ushauri na hii ndio sababu inayofufanya tushindwe kwenye mambo mengi muhimu.
 
yaani Prof. Lipumba hadi leo anakuwa considered yupo likizo pale UDSM?? hiyo ndio Tanzania bana!! watendaji wakuu ikifika hatua ya kuitetea/kuipendelea CCM wanatumia akili za matakoni si za kichwani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…