granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,630
- 10,609
WANALANDANA
WANALANDANA
Hiyo family kama Ina laana hivi
Malezi yao, anadai aliruhusu familia kusema ukweli kwa kila kitu pasi na kuficha chochote.Kakosea nini mzee wao mkuu?
NakaziaMaisha ya umaarufu ni magumu sana mkuu, ni ya mateso sana
Yani Will Smith ameshindwa kabisa kumlea huyo Mtoto dahh!!
Malezi ya watoto kwenye nchi zilizoendelea ni mtihani sana...Yani Will Smith ameshindwa kabisa kumlea huyo Mtoto dahh!!
Mbona kama mambele wanajali sana?????Malezi ya watoto kwenye nchi zilizoendelea ni mtihani sana...
Watoto ni kama mayai huko, ukiligusa tu serikali inakupasua...Mbona kama mambele wanajali sana?????
Dahhhhh!!Watoto ni kama mayai huko, ukiligusa tu serikali inakupasua...
Karet kid ni j siyo willow.Jamani kutoka kwny Karet Kid mpaka kuwa hivi..
Huzuni
Wameshaniambia kaka...nilipitiwaKaret kid ni j siyo willow.
Shida ni mama yao na sheria za USMzee wao ndo changamoto.
Hao madogo kua sawa, sijui kwakweli.
Wana mambo ya kiwaki, daily kwao ni majuto.
Mkuu kwamba US watoto wako vile, ni wazazi wao tu miyeyusho.Shida ni mama yao na sheria za US