Smartboy
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 1,110
- 128
- I see hebu niacheni nipumzike bana! ha! ha! ha! ha!, mimi simo kwenye maandamano ya kwenda Clouds na m4ceee! ha1 ha! ha! ha!
William.
William
watoto wa viongozi Ccm mnajisikia sana ndo maana mnakuwa na dharau kwa watanzania, ila one day yes. Nafikili hata watoto wa Ben Al, Gadafi, Bagbo na Mubarak walikuwa wanajisikia kama wewe saiv. Ngoja mabadiliko yatokee Tanzania tuone mtakimbilia wapi. Nyie ndo wale wale as son as father.