Mtumishi Mkuu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 259
- 93
Hello wana JF,
Kwa muda sasa nimekuwa nafuatilia hoja mbalimbali zinazotolewa na ndg yetu bw W. Malecela. Imefika mahali nikiri kwamba ninapata ukakasi kusoma hoja anazozitetea kama hili la posho za wabunge na kwmb wabunge ni watu muhimu zaidi ktk hili taifa. Historia ni mwalimu mzuri sana; hivyo ninaamini kwa kuwa huyu mtu ni mtoto wa mwanasiasa mkongwe na pia amepata exposure ya kutosha hoja zake zingekuwa na mashiko zaidi. Nimejikuta najaribu kumlinganisha na mwanasiasa kijana (January Makamba) na ambae pia ni mtoto wa mtu ambae amekuwa serikalini na kwenye chama kwa muda mrefu. Birds of the same feathers do flock together, kutokana na background yao, hopefully these people are friends and possibly learning from each other. Swali langu hapa ni je, twaweza kuwafananisha hawa watu? Willium na January. Lengo hapa ni kusaidiana ili kila mmoja atekeleze majukumu yake na kuepuka matusi yasiyo na lazima kutoka kwa raia wema.