Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,402
- 7,567
tunaomba picha ya hilo jengo tulione na sisi tulio mbali
Kila kamba atakula kwa urefu wa Mbuzi wake !
Mh na wewe mbona unageuza hii methali, kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake !
Wivu tu!, nyie kinawauma nini Mr.megawati kujenga gorofa?. Mbona mshahara wake na posho anazopewa spika zinatosha kujenga hata gorofa kumi?. sembuse hizo tano!.
uko sawa kabisa!!!!!!!!!!!!!!
ila sio kwa kuiba. Kelele zilizopo ni kuwa hawa wanaiba , kwa hiyo hawafanyi hayo kwa vipato vyao halisi. kumbuka fedha haramu ndizo pia zinasababisha mfumko wa bei, maana watu wezi wanaogopa kuweka pesa benki kwa hofu ya kuulizwa wametoa wapi, matokeo yake wananunua vitu kwa bei yoyote ile ili mradi pesa iishe na kumbuka kwa 7bu ni wizi hawana uchungu nayo.
Hivi hamjiulizi kwa utajiri gani walionao WATZ eti wanauziana kiwanja cha kujenga nyumba milioni moja, mbili, tatu, nne, kumi mpaka milioni mia tano. Pesa wametoa wapi kama sio za wizi wanataka watumie haraka haraka ziishe. Na kibaya zaidi hawa wezi hawawafaidishi WATZ, ila wengine wanapeleka mabenki ya ulaya halafu serikali ya TZ inaenda kukopa pesa hizohizo kule ulaya...zikifika bongo wanazirudisha ulaya badala ya kujenga viwanda bongo
NAOMBA WALE MLIO IBA PESA YA UMMA NA HAMJAKAMATWA, BASI JENGENI VIWANDA MTUAJILI WATZ WENZENU NA NINYI MUWE MATAJIRI ZAIDI VINGINEVYO MTAKUFA MASKINI NA MAPESA YENU YATALIWA NA NONDO, TUNUNTU na MCHWA
Wewe umemwelewa mwenye hoja ana issue na nini? Hakuna yeyote anaye-question utajiri wa mtu kwa sababu wote tunatafuta maisha mazuri. Problem ni hawa mafisi wezi wanaotumia hela yetu kujitajirisha na huku sisi tunaendelea kutumia vibatari.mnaangalia mawaziri2, wananchi wengine hamuwaangalii?
Punguza hasira ndugu yangu, tutakosa vyote ukimmalizaTumechoka sasa! Atakayemwona alipo Mr Megawati niambieni. Potelea mbali!