William Malecela na tuhuma dhidi ya CHADEMA, utoto wa CCM unaendelea...

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Kwenye profile ya Tanuru la fikra kule FB kaandika haya, namnukuu

"........W'S EXPERIENCE: Hatimaye jana gazeti moja limetoa mahesabu ya Chadema, na jinsi wanavyogawiana mapesa ambayo haijulikani yanatokea wapi, wabunge wao wanalipwa kodi zetu bungeni, na huko kwenye chama kumbe wanachota mapesa as they want na halafu ni wote, wakiongozwa na Komu, kama vipi nitazileta hapa the dataz, kwa wakombozi wa wananchi inaogopesha sana. MNACHOLILIA NI POWER TU LAKINI KWAMBA MTAKUWA TOFAUTI, SI KWELI!! - LE WILLIE!!
"

My take:

Huyu jamaa kakimbia hapa JF kwa muda sasa, kaamua kwenda FB kueneza umbea na utoto wake, ni mtu mzima ila ana hoja za kitoto sana.

FYI: William J. Malecela was born 1962!
 
Amuulize baba yake yale mapesa ilyopewa uarabuni ili agombee urais Nyerere akamshtukia yalienda wapi?
 
Usanii haulipi Marekani, Jamaa alikuwa na nafasi kusoma bure( pesa za watanzania zingetumika) kama vile walivyosoma Dada zake mpaka wamekuwa Madaktari. Jamaa bahati kapoteza, Baba nae umaarufu unadhidi kupungua na Anne Kilango ndio huyo karibu jua litazama. Marekani hakukaliki, kazi ya maana hana, ndani ya chaguzi za ccm, kujieleza hawezi maana ameshazoea kubebwa, anachofanya ni kusema ovyo ili JK amwonee huruma ampe ukuu wa Wilaya.
 
Ni sahihi kwa mawazo yake haya kwa sababu analingana na picha anazopiga na wanawake wakiwa wamekumbatiana huku wakiwa wamelewa chakari.
 
only83, ukimsema willy kinachofuata ni kula ban jamaa ana misifa..atakuja kukujibu kwa mipicha na madem..lijamaa ni hopeless kabisa..hajajitambua!!
 
Amuulize baba yake yale mapesa ilyopewa uarabuni ili agombee urais Nyerere akamshtukia yalienda wapi?

Mapesa unayosema yalitoka Cantibary na kupitia uarabuni. Any way, lakini jama huenda akawa na hoja siyo wa kum ignore kihivyo.
 
huyu jamaa ni shosti wa Nape na huwa wanapeana story za kipusti.
Kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti au ya mvuta bange.
 
Mapesa unayosema yalitoka Cantibary na kupitia uarabuni. Any way, lakini jama huenda akawa na hoja siyo wa kum ignore kihivyo.
gamba lingine... Hoja lojolojo haikubaliki hapa mkuu! Chadema tunataka ushaidi wa hizo porojo zenu....
 
only83, ukimsema willy kinachofuata ni kula ban jamaa ana misifa..atakuja kukujibu kwa mipicha na madem..lijamaa ni hopeless kabisa..hajajitambua!!

Mkuu samahani,,hivi unajua elimu ya huyu Willie? au mwenye CV kamili aiweke hapa tuone kisha tutareflect na matendo yake mengi anayafanya hapa tokea arejee
 
huyu si ndio juzujuzi tumesikia anataka kutoa filamu na wema sepetu. Ameghairi tena.
 
196797_4515536285711_2045401057_n.jpg
 
Back
Top Bottom