Sasa anayeleta porojo nani kati yangu mimi na wewe? Hakika, hikindicho nilichotegemea kutoka kwako, nothing more, kwa kuwa najua huna source yakueleweka ya takwimu zako za 34%. Hizi utakuwa umejitengenezea wewe mwenyewe.Leta source dada, leta source, kwani zitasaidia sana hasa kwenye chambuzimbalimbali. Source inaweza kuwa yeyote ile: TANESCO, REA, NBS, World Bank, etc.Huwezi andika kama msomi kwa kutoa statistics, tena kubwa, 34%, halafuunathibitisha source kwa picha, what a joke!! Naridia, access Tanzania ni 14% kwa sasa. Njoo na picha hata 1,000 lakini huu ndio ukweli na kama nimgumu kuukubali basi nyamaza kimya usidanganye watu hapa JF.
Uwezo wa JK unaakisiwa vilivyo na wanaomtetea! Watanzania tunategemea umeme kutoka kwa Obama. Nakumbuka jinsi Nyerere alivyopiga kelele kuwa tusitegemee mjomba toka nje kutusaidia lakini siku hizi sera ni kuomba kwa mtindo mmoja. Na tukishaomba tunajitapa - kwamba sisi zaidi. Nyerere must be turning in his grave!!