mfumo wa maisha ulivyo, huwezi kumridhisha kila binadam kwa sababu kila mmoja anamatakwa yake. Na huwezi kupendwa na kukubalika na kila mtu. Kwa hyo kwa anaemsifia jk yupo sawa na anaemponda yupo sawa kwa sababu ndio maisha yalivyo
Nahisi wanaomsifia wanaongozwa na njaa na ubinafsi! Time will tell!