johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,003
- 142,027
Mbegu ya mchicha imezalisha bangi!Huyu mzee anamuabisha sana baba yake kama asingekuwa anafanana na baba yake nisingeamini kama kazaliwa na yule mzee mwenye busara. Yuko tofauti sana na akina Mwele.
Le Mutuz Na maadili wapi Na wapi?William Malecela aka le mutuz ameshindwa kutokea katika mjadala uliozungumzia hatima ya utamaduni wetu na maadili uliorushwa mubashara na luninga ya Star. Mwendesha kipindi ndugu James amesema walimualika mzee le mutuz kutokana na uhenga na nafasi yake katika jamii lakini ameshindwa kutokea. Ameahidi kumualika tena katika siku za usoni. Source Star tv tuongee asubuhi!
DooohhKamera zingeanza kumulika kwny zipu yake hata mm nisingeenda
Labda walitaka watazamaji mumfunde!Le Mutuz Na maadili wapi Na wapi?