William J. Malecela anagombea kuwakilisha Wazazi wa CCM Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

William J. Malecela anagombea kuwakilisha Wazazi wa CCM Dar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUMBIRI, Jun 24, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wakuu heshima mbele,
  Leo nimetoka kuperezi Facebook Wall ya
  W. J. Malecela nimekuta amendika hivi "People need your prayer, kesho ninaingia kwenye uchaguzi ninagombea nafasi mbili za kuwakilisha mkoa na saa 1 kesho asubuhi nitakuwa Star Tv Radio kuchambua kwa kina Bunge la Bajeti!! SO NEED YOUR PRAYERS; LEO KWANZA LOUNGE LATER NI MANGO GADERN KWENYE TWANGA SUGU; USIKU MWEMA NA MBARIKIWE!! - Wille".

  Kwenye Post nyingine ameandika hivi "Le Mutuz leo between my show at TV Star at 7. 00 this morning na later at 10.00 AM Uchaguzi wa Kuwakilisha Wazazi na CCM Mkoa wa Dar; THANK YOU GUYS FOR THE PRAYERS I AM SO READY AND SO HELP ME GOD!! LOVE YOU SANA GUYS!! I AM ON MY WAY!! - Le Biiig Show!! "Mwisho wa kunukuu.

  Concern yangu kuu kwa William, ni kwa nini safari hii kaamua kuingia kwenye uchaguzi bila kuja hapa JF kupata ushauri kama alivyofanya kwenye uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki? Alafu ni kwa nini siku hizi kapotea hapa jamvini?

  TUMBIRI (University of Hull, UK),
  tumbiri@jamiiforums.com
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hawezi kuja hapa JF kwa sababu hajamaliza muda wa kifungo.
   
 3. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  mnamsononesha kufikia matamanio yake

  kauli kama 'le mutuz Wille una uchu'

  who knows labda FB imekuwa ground zero kuliko JF
   
 4. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  mwisho atagombea mwenyekiti wa kijiji cha kwao huko dodoma!
   
 5. a

  andrews JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​kwani kule dodoma hakuna wazazi mbona kuna wagogo wengi kule dom dar hatutaki ombaomba tunasafisha mji wetu m4c 4rever
   
 6. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kila akija hapa anashindwa uchaguzi kuna wachawi wake humu...bora asikanyage hapa mpaka baada ya uchaguzi
   
 7. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Willy usitusumbue bwana kila siku sala tu, kufanikiwa kwenyewe hufanikiwi, mungu anaangalia mtu rohoni, inaonekana huna dhamira ya dhati ya kutumikia watanzania ndio maana sala zetu zinadunda. Tulia acha kupaparikia madaraka
   
 8. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa kila kukicha anagombea .. leo hiki kesho kile. Halafu record ya Le Mutuz kwenye kugombea vyeo ni mbovu mno (success rate 0%)?
   
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Alipata ban Mkuu?
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wakuu kwani W.J Malecela ana BAN ? kama anayo huenda yupo na ID nyingine humu anaogopa zitaunganishwa akisema
   
 11. a

  adolay JF-Expert Member

  #11
  Jun 24, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,595
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280
  Hafai kwa lolote kama ndiye aliekuwa anatoa star tv leo asubuhi utetezi wa ovyo kuhusu udhaifu wa rais.

  Ananidhamu ya woga na hajiamini na haamini anachokitetea.
   
 12. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #12
  Jun 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  inavyoelekea!
   
 13. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  [​IMG] Banned


  Join Date : 15th March 2009
  Posts : 3,340
  Rep Power : 0
  Likes Received 1661
  Likes Given 1666


  Nimesearch W.J Malecela alikula Ban
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Ajamaliza kifungo chake JF...Kila la heri Will Dar
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #15
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  akshndwa inabdi agombee viti maalumu. DHAIFU
   
 16. Makete Kwetu

  Makete Kwetu JF-Expert Member

  #16
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ritz
  We kweli hatari 2day unampondea magamba mwenzio?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  JF Rules lazima ziheshimiwe,watu hawaamini kama anaweza kula BAN! Ukienda tofauti na JF RUles lazima upate marungu.
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Wewe humjui Ritz mie sio mtumwa humu JF yeyote atakaekwenda kinyume namkosoa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #19
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Na atapigwa chini tena huyo hana jipya!
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  nakupongeza kwa kusema hivi. Simamia unachosema usije ukageuka.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...