William Malecela akacha mdahalo wa maadili Star tv!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,561
William Malecela aka le mutuz ameshindwa kutokea katika mjadala uliozungumzia hatima ya utamaduni wetu na maadili uliorushwa mubashara na luninga ya Star.

Mwendesha kipindi ndugu James amesema walimualika mzee le mutuz kutokana na uhenga na nafasi yake katika jamii lakini ameshindwa kutokea. Ameahidi kumualika tena katika siku za usoni.

Chanzo: Star tv tuongee asubuhi!
 
William Malecela aka le mutuz ameshindwa kutokea katika mjadala uliozungumzia hatima ya utamaduni wetu na maadili uliorushwa mubashara na luninga ya Star. Mwendesha kipindi ndugu James amesema walimualika mzee le mutuz kutokana na uhenga na nafasi yake katika jamii lakini ameshindwa kutokea. Ameahidi kumualika tena katika siku za usoni. Source Star tv tuongee asubuhi!
Le Mutuz Na maadili wapi Na wapi?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom