William Malecela ajitosa NEC-Taifa

Huyu Le Baharia ni PUTO tu,

Style ya maisha anayokwenda nayo ukilinganisha na umri wake, umbo lake na jina la mzazi wake ....... duuh, inaonekana ni hamnazo kule kwenye ubongo.
 
Habari za uhakika kabisa ni kwamba Le Mutuz Big show, Le Baharia @NY City then Dodoma City amejaza na tayari amerudisha forms za NEC -Taifa. Jamaa anapambana na vigogo akina Lukuvi, Mwigulu,Mukama,Nape,Chiligati,Makamba,Shigella, Membe, Lowassa, Bhanji na wengine wengi kuwania nafasi 10 tu! Big up Le Mutuz
Source: CCM-Lumumba
Huyu jamaa ni king'ang'anizi wa kutisha. Kwa nini anatafuta madaraka kwa udi na uvumba?!!!
 
Jamaa nalo lina misifa kibaoo kama toto wakati mwingine siasa za bongo hazitaki kujishebedua saaana utaonekana kituko!
 
Tanganyika bhana..... Kila mtoto wa kigogo anataka kuwa kigogo. Mfano makongoro nyerere, watoto karibu wote wa marehemu abeid amani karume (r.i.p.) watoto wa a.h. Mwinyi, watoto wa kawawa, wa sokoine, wengi tu list haiishi. Na le mutuz?? Kazi iko.

kagombee ushindane nao, namimi nagombea ujumbe wa NEC wilaya ya mpitimbi kuperamihu!, watu kwa wivu bana,! Wanakalia tu vibarazani tu kuwasema wenzao.
 
Back
Top Bottom