William M. tupe report

HUNA TOFAUTI NA NAPE UNAPOTEZA MUDA MWINGI KATIKA JAMII FORUM BADALA YA KWENDA BAHI UKAWAFARIJI VIJANA WA KIGOGO WAKUPENDEKEZE B4 2014.TANZANIA YA LEO HAWACHAGUI MTU ETI SABABU ALIKUWAMVUVI WA SAMAKI(BAHARIA)SIASA YA LEO HAITAKI KUJITAFUTIA UMAARUFU INATAKIWA UWE NA UCHUNGU NA WATU NA SIO SIFA BINAFSI:lock1:

- Kila unapoandika unanivunja mbavu sana, maana huwa unaonyesha uwezo wa kufikiri unapoanzia na kuishia, sasa opna unavyojisema kwamba ulikuwa hujui kwamba kunalaptop, unaweza kuingia hapa huku unasafiri, yaani unanifurahisha sana kila post yako huwa inasema something kuhusu matatizo yako binafsi! ha! ha1 ha!


William.
 
naogopa sana ku comment post za huyu W.J.MALECELA ...maana ni mkubwa humu...ila kwa kifupi mawazo na akili zake ni tofauti na ukubwa wa mwili wake...

- Huyu naye another one, kila kukicha matusi tu, vipi wewe kwenu huko ni wapi ambako mtu akivua nguo na wewe unavua kumfukuza? ha! ha! ha! ha! mimi akili zangu tofauti na wewe mwenye akili sawa unakuja kujadili na mimi huoni kwamba ukimbia kivuli chako mwenyewe! ha1 ha! ha! ha1


William.
 
Duh, pole zako Willie.

Maana unashambuliwa kama mpira wa kona, pamoja na kutofautiana mitazamo lakini maneno mengine mtu unaweza vunja kilaptop bure.
 
kutoka kuza kwenye super market mpaka mwana siasa kwele bongo ndio yenyewe kuliwa

wabongo wengi vilaza , mtu akiwa mbele basi wanajua ana akili sana kumbe mtu alikuwa anafanya kazi mmcdonald..bongo akija wanampigia magoti...kuna bandiko nimesoma kwa michuzi eti visiwani kuna hoteli ambayo inapokea wazungu tu haipokei weusi WTF? ...ukiona hivyo ujue mmiliki hana exposure .
 
Kwa hiyo le mutuz rais ya dodoma, mzee ya totoz ni muuza crips,popcorn na juice ya kukoroga?
 
Back
Top Bottom