Kiherehere
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,806
- 622
Hakuna mwana MAHESABU na mwana SAYANSI mwenye low thinking capacity.Wewe utakuwa wale wa Qt au form four Arts Pure,mara zote akilı zenu zınawaza NAHAU na miaka ya vifo vya machıfu.

Lukuvi ni JEMBE. Ni mtu wa kazi. Magufuli ni mtu wa kazi. Ukijumulisha hapo unapata mchaka mchaka wa maendeleo
Mnakumbuka kipindi Magufuli alipopita top 3 kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta mgombea urais CCM? William Lukuvi alikua mpambe wake kipindi Magufuli akiasalimiana na wajumbe na hakutaka kumuacha kwani walikua bega kwa bega.
Katika watu walio karibu na Magufuli na ambao Magufuli anaowakubali Lukuvi ni mmoja wapo, na kuna kila dalili JP Magufuli akishinda atamteua yeye kuwa PM.
By Abel sere from Moshi.

yupo kwenye orodha ya mafisadi wa elimu kwenye kitabu cha msema kweli.Tumutendee haki. Lukuvi ni graduate. Ana Masters degree. Rejea web ya bunge. Tusitihumu bila ushahidi.
Mimi sijui elimu yake. Waziri mkuu lazima uwe msomi kumzidi hata Rais. Hebu someni CV yake kwenye tovuti ya Bunge.