William Lukuvi kugombea urais

William Lukuvi kugombea urais

Joined
Jun 14, 2015
Posts
37
Reaction score
12
Akiwa mkoani Lindi kikazi, Bwana Lukuvi amemweleza msaidizi wake wa karibu aliyejulikana kwa jina moja la Mkapa kuwa atachukua fomu ya urais wiki hii.

Go go Lukuvi
 
Chama kinapata ma milioni kutoka kwenye form,naona hata gharama ya kutengeneza form ilisharudi long time,sasa itabidi 2025 wapandishe bei ya kuchukua form
 
Hii Ya Ccm Kuchukua Fomu Ni Kama Pombe Ya Ngomani Yaani Kila Mlevi Anajichotea.
 
Mgombea Mwenza

Nawe ni kilaza kweli....za kuambiwa changanya na zako...Anachukua za urais wa familia au?
Maana zile za ccm mwisho wa kuchukua ilikuwa jana.
 
Last edited by a moderator:
hana makundi, muadilifu, na mchapa kazi anakosa sifa moja tu: HAJAPIGANA VITA YA KAGERA :car:
 
Aah kumbe sasa nimeshajua! Kwa hiyo ndyo maana toka amepewa Wizara ya Ardhi miezi michache tu iliyopita amekuwa akijitutumua kama askari wa mwavuli mwadilifu kwa kutatua kero sugu za mashauri ya ardhi.
 
Hapa SISIEM wataongeza kigezo cha watu wenye elimu ya kuunga unga hawatapitishwa
 
hana makundi, muadilifu, na mchapa kazi anakosa sifa moja tu: HAJAPIGANA VITA YA KAGERA :car:

Aache kuubetua ule mdomo wake, haipendezi mwanaume kuweka mdomo kinyodo nyodo
 
Akiwa mkoani Lindi kikazi, Bwana Lukuvi amemweleza msaidizi wake wa karibu aliyejulikana kwa jina moja la Mkapa kuwa atachukua fomu ya urais wiki hii.

Go go Lukuvi

Urais lazima uwe na degree, Lukuvi hana degree. Ana certificate ya ualimu
 
Back
Top Bottom