William Lukuvi kugombea urais

William Lukuvi kugombea urais

Akiwa mkoani Lindi kikazi, Bwana Lukuvi amemweleza msaidizi wake wa karibu aliyejulikana kwa jina moja la Mkapa kuwa atachukua fomu ya urais wiki hii.

Go go Lukuvi

Na Nyie CCM Hebu Jishtukieni Basi Kwani Sasa Mmezidisha Sifa Na Tumewachoka. Kwanza Rais Tulishampata Zile Wiki Mbili Tu Za Mwanzo.
 
Akiwa mkoani Lindi kikazi, Bwana Lukuvi amemweleza msaidizi wake wa karibu aliyejulikana kwa jina moja la Mkapa kuwa atachukua fomu ya urais wiki hii.

Go go Lukuvi

Huu utani wa ngumi sasa wakuu. Hadi huyu ..? ama kweli hata "mkara" naye atajitokeza kugombea.
 
Victoroe ao wanachangia wachaguliwe kwenye uwaziri

Subiri vimbwanga vya kujito vinaanza soon
 
Dah uhuru wa kuongea jamani ni mzuri, hini kuanzisha uzi hapa juhudi ya mtu kutengeneza tu maneno then kwishinei, maana hapa sasa hii sifa.
 
balozi mmoja wa taifa kubwa rafiki yangu aliniambia 2011 do oyu know your next president nikasema no akasema Lukuvi
 
balozi mmoja wa taifa kubwa rafiki yangu aliniambia 2011 do oyu know your next president nikasema no akasema Lukuvi

semeni weeeeeeeeee! Mpaka midomo yenu ichoke. Rais wa Tanzania atatokana na uchaguzi mkuu Oktoba 25, 2015. Na siyo kwa mdomo kama Msulibasi anavyotuambia
 
semeni weeeeeeeeee! Mpaka midomo yenu ichoke. Rais wa Tanzania atatokana na uchaguzi mkuu Oktoba 25, 2015. Na siyo kwa mdomo kama Msulibasi anavyotuambia

Nieanza kuhsi alichosema yule balozi ndicho maana Lukuvi alishindwa kungaa katika ile post yake ya zamani sasa wakampa ardhi na akaimudu vema kwa wao kumpa support sasahuyu ndie mccm wao
 
Back
Top Bottom