William J. Malecela kugombea ubunge wa EAC

Niliweka BTW Mkuu.......kutofautisha uhusiano wa picha na hoja..........Sina hakika kama Joe alirithishwa CLOUDS na baba yake ila najua Marehemu Mzee Kusaga alikuwa Managing Director wa Clouds......Nikikutana na Justin ntamuuliza

- Wakati Joe anaifufua Clouds Motel Agip kutokana na Mbowe Club kuwa kwente renovations, Mzee Kusaga alikwua Bima, by the time ana-retire Clouds ilikuwa mbali sana mpaka yeye kuja kujiunga nao, kwa hiyo wala usipoteze muda wako na Justin cause Joe ndiye aliyeifufua Clouds tena kwa kutumia Domestic Equipment! I mena I was there wala sio ya kusimuliwa!

Es!
 

- Ukisoma post yangu moja huko nyuma utaona nimeshauri kuwepo ushirika wa kikatiba kati ya wab unge wa EAC na Wabunge wa bunge letu, tupo one page yaani Uukurasa mmoja!

Es!
 

Justin is my class mate.......sorry to have stirred your cup of tea
 
Justin is my class mate.......sorry to have stirred your cup of tea

- Sawa sawa he is my Child hood friend, baba yangu akwia RC yeye baba yake alikuwa Mkurugenzi wake wa maendeleo, so one page sana na aliporudi Holland na kuanzisha Clouds was right there Helenic na Bulgarian Club kabla hajahamia morogoro au unasemaje?



Es!
 

Sina la kusema mkuu.........BIRIBI........KTU......he was lively then......huyu unamkumbuka?

 
Kabla ya kwenda kwenye umuhimu wa kujiunga na EAC, ainisha kazi za Mbunge wa EAC?..na nini wabunge wa Tanzania EAC wamefanya?

Sr.
Subiri arudi kutoka Google,......
Hili swali nakumbuka aliwahi kuuliza Mohamed Dewji kumuuliza mbunge wa CCM aliyekuwa anagombea kuiwakilisha Tanzania kwenye Bunge la SADC, swali lilikuwa hivi,
Ni nini kirefu cha SADC? cha ajabu mbunge wa CCM alishindwa kujibu swali hili. kwa kifupi haya Mabunge mengine ya nje hayana tija kwa Taifa ni wizi mtupu.
 

Kaka Matola, heshima mbele sana Mkuu.

Mkuu hakika hatuwezi kuendelea na huu ubabaishaji, watu siasa za ndani tu hawaziwezi leo wanataka waende kutuwakilisha kwenye medani za kimataifa, kutetea Taifa letu na interest za Mataifa mengine.

Ile issue ya SADC bado iko kwenye kumbukumbu zangu, ni aibu kubwa sana kwa Taifa letu (50 Y.A.I), kuna wengine hata ku-construct sentensi moja la kiingereza hawajui achilia mbali kirefu cha SADC.

Kuna kilaza mmoja humu jukwaani kwake yeye EAC ni Tanzania na Kenya tu, hapana lazima tubadilike kwa Maslahi ya Taifa letu.
 

Haswaa.....hana jingine
 

Unapoomgelea UN history an unaanza na kuongelea members wake Kama US na Uk kwanza mañana ndioq wenye maamuzi Mengzi makubwa so is Tanzania and Kenya, otherwise ni rahisi Kuita wengine vilaza cause no body owns the term na inasema wazi Tabia ya mtoa Hoja











Es!
 

Mkubwa wangu wa kazi naomba ukapumzike sasa........typo nyingi mno :hand:
 

Yamekuwa ya SADC tena?

Es
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…