Will you marry me??

Will you marry me??

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761
Will you marry me my baby??

1380120_748981845129105_1972619884_n.jpg

318786_401766299872178_110418898_n.jpg
 
enzi zangu nilipakaza pilpili kwenye macho nikatoa mchozi wa maana..haikuchukua sekunde mtoto kalainika..
'hizo ni janjaweed tu ili mtu afunue chupi unadhani watu wanamaanisha hapo..................hawa bila ya kuwadanganya kama watoto wadogo huwapati inabidi umpeleke peleke kama mtoto wa vidudu vile'
 
Huyu binti kama shombe fulani hivi...hatari tupu!!!


318786_401766299872178_110418898_n.jpg
 
Bora sie wa enzi zetu, hawa vijana wa sasa balaa buluu
 
sio kama wale wamama......habari yako bana

'hahahaa,umenichekeshaje wng macho yako................mi habari muzuri bhana,no no no hivi vikinda vya ndege ndo fasta tu coz wale wameshadanganywa sana bhana so they know how beautiful liars do,kwa hiyo usifkiri ni rahisi kama unavyodhani asee ooooh,damn hard na ndo mana wengi wanaishia kutokwa na mate tu kama si udenda,heh heh'
 
sio kama wale wamama......habari yako bana

'i need a caring husband,hahahaa nimeona picha yako leo bidada kumbe mzuri kiasi kile asee jicho zaidi ya tigo na domo zaidi ya kaya asee sooo natural with ur african beauty wng,lol'
 
'i need a caring husband,hahahaa nimeona picha yako leo bidada kumbe mzuri kiasi kile asee jicho zaidi ya tigo na domo zaidi ya kaya asee sooo natural with ur african beauty wng,lol'

hahaaaaaaaa kumbe umeniona lol..ndo yule bana
 
Hivi mtu aniletee mboga nimkatae kweli........? huyu si ndie anajali afya yangu........ zaidi ya afya ni nini kingine nahitaji.......

Hahahah....hata sisi maDr tunashauri hivyo
 
Back
Top Bottom