bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,713
Unaelewa maana halisi ya jobless practically au una bwatuka kwa kuleta madesa yako hapa..!Wewe sasa ndio unachanganya madesa, mada imesema ni "job less" it means hana kazi yoyote hata ya kuponda kokoto. Maana mponda kokoto tayari sio job less huyo.
Na kuwaza kwa niaba ya mtu ni tatizo babu, wapi kuna mtu kaongelea kwenda ofisini kwa mkoloni?