Will you Invite Your EX To Your Wedding Ceremony?

Kuna wale ambao you are now good friends,
almost mmesahau hata kama mliwahi date.
Those ones can come, if the groom haoni mbaya

But kuna wale wengine ni ex kabisa kabisa
the only things you talk about mkionana
ni those times you shared back then
hao hawafai kuja kwenye ndoa yangu.
 
Sasa 18 ni wengi na wewe?

Naona niwaalike wote ili zawadi ziongezeke.


Du....18 wachache?? Kumbe smile hajakosea maneno yaliyopo kwenye signature yake......

off topic...
Zawadi nilokuulizia ni ileee..... niliishia nadhani part 6.... upoo!!
 
Kuna wale ambao you are now good friends,
almost mmesahau hata kama mliwahi date.
Those ones can come, if the groom haoni mbaya

But kuna wale wengine ni ex kabisa kabisa
the only things you talk about mkionana
ni those times you share back then

hao hawafai kuja kwenye ndoa yangu.

Mwali ma ex wenginw huagwa siku moja kabla ya ndoa..je nwaalike hao pia?
 
Du....18 wachache?? Kumbe smile hajakosea maneno yaliyopo kwenye signature yake......

off topic...
Zawadi nilokuulizia ni ileee..... niliishia nadhani part 6.... upoo!!
Watu wana zaidi ya 50 mie wangu unaona wengi?

Ohhh nlielewa sema nikasahau kujibu. . .
Bado bado sijaendeleza. . . ntajitahidi soon!!
 
Ni ma ex wachache sana waloachana kwa heri; sema kuna kusameheana muda ukipita.

Kurudi kwenye mada, kwa kweli mi sina hata number ya simu ya ex na ingawa tumeshawahi kukutana bahati mbaya hakuna alomuomba mwenzie namba ya simu kwani tunataka ku move on. Haya mambo ya kupeana namba siku ukiwa down kwenye ndoa yako utaja mtafuta ili akupe shoulder to cry on. Na mnajua kitakachofuata.

Kwenye ndoa yetu hao ma ex hawana nafasi (labda kama hubby anawasiliana nao kwa siri lakini ningemkamata tu)

Na watu wengi hasa wanawake wanaochiti huchiti na ma ex wao kwani ni ngumu kuvulia mtu usomjua nguo.


Kama hatuna ugomvi YES! Kuna some ex huwa wanageuka kuwa marafiki so akihudhuria ni poa tu
 
naalika tu aje asije atajijua...japo najua wengi hawana uwezo wa kushuhudia yaliyomo
 
never! kamwe siwezi kumualika ktt wedding yangu,iwe tuliachana kwa amani, au kwa shari, wedding yangu inaashiria kuanza new page na mtu mwingine, so it is not about the past anymore
 
Back
Top Bottom