Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,061
- 136,424
- Thread starter
-
- #21
Hivi unaamini kuna kesi itafunguliwa? C'mon ngosha!
Ndio yaleyale ya International Court of Justice(ICJ) tuliyoambiwa baada ya Uchaguzi Mkuu 2015.
Ninakuambia hakuna kesi bali ni porojo tu za kisiasa kama kawaida yetu.
Muda ni jibu sahihi. Tutakumbushana hapa Jamiiforums.
Wale wanajitambua tofauti na wale ma-bro wanaokutananga DOm pale mjengoni. Wamesemewa ovyo, lakn mpaka sasa wapo kimyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyaMahakama ishaambiwa kuna mhimili uliochimbiwa chini zaidi tayari.
Sasa kama hivyo ndivyo ilivyo ukweli ni upi sasa?
Ukweli utajulikana vipi?
Au Kiafrika afrika watu hawajali ithibati.
Kwamba ikishadaiwa tu kwamba Paul Makonda jina lake si Paul Makonda bali ni Daudi Bashite, basi.
Mjadala unaanzia na kuishia hapo?
Oh well...
...
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Watu wameenda kijijini kwao wamehoji ndugu zake, walimu, etc. Wakasema wanamjua mtu anayeitwa Paul Makonda kama Daudi Bashite. Hukombele kaungaunga majina mpaka kaja kutokea kuwa Paul Makonda. Ndiyo tuhuma hizo.But where is that proof though?
Kile kituo cha Radio kilichotajwa kuwa muhusika anafanya kazi hapo kiliwahi kanusha?Hujiulizi kwanini?
Gwajima anasema huyo ni kaka yake na ex girlfriend wa Bashite, kwa hiyo anaweza kuwa na personal interest ya kutojitokeza.Ila Paul Christian Muyenje sijui............ yupo?
The real Paul Makonda is the one and only Paul Makonda, aliyesoma Moccobs, akateuliwa DC na sasa ni RC, mengine yote ni uongo mtupu!.In the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.
Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.
Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.
Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.
Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.
Yeye huyo mtu yuko wapi?
Sasa hivi anatumia jina gani?
Anafanya shughuli gani?
Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?
Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.
Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?
I'm getting so sick of this bullshit.
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Ngabu mbona unajifanya hujui taratibu
Criminal investigation yoyote Police ndo wana mamlaka ya kutuambia ukweli
Anaepaswa kulazimisha kutueleza ukweli hapa ni IGP na Police kwa ujumla
wao ndo wenye uwezo wa kumuomba Makonda au muajiri wake vyeti na kuvipeleka
baraza la mitihani na wizara ya elimu na kutoa tamko la kipi uongo kipi ukweli
wao ndo waseme hizi ttuhuma sio za kweli au ni za kweli wamchukulie hatua
Hujui huyu nae ni mtuhumiwa?Unadhani ataacha kuhojiwa?Ila Paul Christian Muyenje sijui............ yupo?
Bossman, hujui kuwa kuna Fourth Estate pia?
Role ya Fourth Estate hapa kwenye hili suala wewe unaionaje? Umeridhika nayo?
In the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.
Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.
Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.
Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.
Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.
Yeye huyo mtu yuko wapi?
Sasa hivi anatumia jina gani?
Anafanya shughuli gani?
Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?
Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.
Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?
I'm getting so sick of this bullshit.
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Mange KASEMA au sio??Unavoongea kama una muhim sana kwa jamii ya tanzania ati your getting sick ww kama nani? Issue ya makonda iko wazi na sasa anamambo makubwa kuliko hayo ya vyeti leo ujinga wake na uroho wake umebainishwa hadharan fala sana yule msukuma yaaan watu wanakwapua pesa yy anakwapua magari ya watu dah.
Kaka wa huyo Makonda alikuwa Mkurugenzi pale Kagera lakini alitumbuliwa last year.Sasa kama una uhakika na utimamu wa akili zako basi fanya utafiti ukianzia hapo, inaweza kukusaidia ukawa promoted na kuitwa Dr Nyani Ngabu!In the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.
Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.
Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.
Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.
Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.
Yeye huyo mtu yuko wapi?
Sasa hivi anatumia jina gani?
Anafanya shughuli gani?
Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?
Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.
Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?
I'm getting so sick of this bullshit.
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Hivi unaamini kuna kesi itafunguliwa? C'mon ngosha!
Ndio yaleyale ya International Court of Justice(ICJ) tuliyoambiwa baada ya Uchaguzi Mkuu 2015.
Ninakuambia hakuna kesi bali ni porojo tu za kisiasa kama kawaida yetu.
Muda ni jibu sahihi. Tutakumbushana hapa Jamiiforums.
Hahaaaa,, kweli kabisa Majungu ni mzigo wa misumali ni lazima uhangaike nao ukijitwika kichwani.Majungu kazi sana ndio maana wanatapatapa tu