Will Kikwete make this speech?

amechelewa; hiyo hotuba niliyokuwa naifikiria ilitakiwa iwe wakati anaanza Urais na kuhamasisha wananchi halafu anafuatia vitendo. Lakini sasa hivi it doesn't matter anymore.
 
This was then.. when I had some hopes.. or what a disappointing five years of failure per maximum..
 
Huyu "Curtis" wa YoungAfrican.com enzi zile ndiyo Januari Makamba siyo?
 
Zile zama za wanamapinduzi wa fikra zimeshakwenda. wamebakia majambazi wa fikra.
Leo Kikwete akisimama kuhutubia haishi kusema TUMEBORESHA, TUNABORESHA, TUPE KWENYE MCHAKATO et all.
Hakuna jipya.
 

Thank you Kyoma for the audacious revelations about our almost former president.........JK
 

Are you still waiting for such speech?
 

Rubbish.
 
Mwana K hapa mi nadhan unataka speech ilyokuwa headed na kauli mbiu fulani mbona hizi zipo ktk kila speech za wizara mfano kilimo kwanza,tz bila ukmwi inawezekana,big result now...Ila watanzania what we need now ni implementation na sio polojo kama unavyosema wewe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…