Yaa, ndio hata nilivyosema hapo.Usiku Arusha kuna wakati inasoma 12 japo ni mara chache
Sijawahi kushuka hiyo mitaa napitaga tu kwenye bus...nilipita makambako sijui mafinga ile, nikielekea Mbeya...bab, nilifunga dirisha mwenyewe na sio kawaida yangu...halafu nje naona wana wanauza mahindi wapo na t-shirt tuNjombe ndo hatari kabisa
Nilikuwa ngaramtoni chuga siku chache zilizopita, asubuhi ilikuwa sometimes inasoma 10.Usiku Arusha kuna wakati inasoma 12 japo ni mara chache
Nilikuwa huko juzi kwenye msiba Nkoaranga Meru hiiNgara kikikubali inakuaga balaa, fog la hatari
Wakuu bila shaka ni wazima,
Mimi ni mtu naye penda sana kitu inaitwa hali ya hewa. Kuna jamaa anatoka Makete aliwahi nisimulia baridi ya huko. Nikasema isiwe kesi nikatinga msimu wa baridi mwaka jana. Aisee ni noma. Ila jamaa wamelizoea. Kama mgeni hutakaa urudi tena. So far nimetembelea.
1. MAKETE
2. NJOMBE
3. MAKAMBAKO.
Bado MUFINDI NASIKIA NAKO SI HABA.
Hii ni nyanda za juu kusini.
Hebu tupeane update wilaya zenye baridi na linakuwa msimu upi sana.
Nawasilisha.
Huko pia baridi la kufa mtuLushoto Lushoto...... weeeee!
Mifindi, kuna siku nilipita asubuhi kitokea Mbeya ni ukungu balaa halafu watu ngozi zao ni za kijivuNipo hapa Iringa mjini, ni hatari, kama nipo kwenye Friji vile.
Makete, Njombe, Mfindi, Makambako bado sijawahi kufika huko, nikifika nitalinganisha na hili la Iringa ingawa najua huko lazima pawe kiboko
Mufindi, Kilolo bei za kukodi shamba ni sh ngapi kwa ekari moja.?Kama ni Kilimo na mashamba ya bei rahisi nenda Njombe, Mufindi au Kilolo-Iringa.
Mkuu, jitahidi pia kutembele Wilaya ya Lushoto mwezi wa Sita na wa Saba halafu utazidisha Ufahamu wako kuhusu Wilaya zenye Baridi Tanzania...Wakuu bila shaka ni wazima,
Mimi ni mtu naye penda sana kitu inaitwa hali ya hewa. Kuna jamaa anatoka Makete aliwahi nisimulia baridi ya huko. Nikasema isiwe kesi nikatinga msimu wa baridi mwaka jana. Aisee ni noma. Ila jamaa wamelizoea. Kama mgeni hutakaa urudi tena. So far nimetembelea.
1. MAKETE
2. NJOMBE
3. MAKAMBAKO.
Bado MUFINDI NASIKIA NAKO SI HABA.
Hii ni nyanda za juu kusini.
Hebu tupeane update wilaya zenye baridi na linakuwa msimu upi sana.
Nawasilisha.
Mbinga baridi ipo ila ni ya kipindi kifupi sana ,Mbinga,jamani kuna baridi huku
Tembea uone makete huko negative celcius ni kitu cha kawaidaHii hapa hii chai, bongo hakuna sehemu yenye negative
Watu huwa wanachanganya baridi ya makete na Mufindi huwa sio kila muda,ni ya kipindi ndio huwa Kali.Makete no.1
Mufindi no.2
Njombe inamalizia
Iringa na njombe zinakosekana snow kweli?Tukuyu ndo sehemu pekee Tanzania ambayo mpaka snow inaanguka huku saiv joto linasoma -10 °C
Huko hakuna tukuyu ndo inaongoza tz nzima njoo ujioneeIringa na njombe zinakosekana snow kweli?
Mikoa inayoongoza kwa baridi
-Arusha
-Mbeya
-Iringa