Wilaya zenye baridi sana Tanzania

Usiku Arusha kuna wakati inasoma 12 japo ni mara chache
Yaa, ndio hata nilivyosema hapo.

Kuna muda sema sio kwa siku nzima, huwa inatokea hata mchana sio usiku tu.

Kuna muda baridi inachachamaa mpaka Mtu unatambua kabisa hii ni chini ya nyuzi 20.
 
Njombe ndo hatari kabisa
Sijawahi kushuka hiyo mitaa napitaga tu kwenye bus...nilipita makambako sijui mafinga ile, nikielekea Mbeya...bab, nilifunga dirisha mwenyewe na sio kawaida yangu...halafu nje naona wana wanauza mahindi wapo na t-shirt tu
 
Ngara kikikubali inakuaga balaa, fog la hatari
Nilikuwa huko juzi kwenye msiba Nkoaranga Meru hii
Screenshot_20210712-103407.jpg
 
Wakuu bila shaka ni wazima,

Mimi ni mtu naye penda sana kitu inaitwa hali ya hewa. Kuna jamaa anatoka Makete aliwahi nisimulia baridi ya huko. Nikasema isiwe kesi nikatinga msimu wa baridi mwaka jana. Aisee ni noma. Ila jamaa wamelizoea. Kama mgeni hutakaa urudi tena. So far nimetembelea.

1. MAKETE
2. NJOMBE
3. MAKAMBAKO.
Bado MUFINDI NASIKIA NAKO SI HABA.
Hii ni nyanda za juu kusini.

Hebu tupeane update wilaya zenye baridi na linakuwa msimu upi sana.

Nawasilisha.

Nipo hapa Iringa mjini, ni hatari, kama nipo kwenye Friji vile.

Makete, Njombe, Mfindi, Makambako bado sijawahi kufika huko, nikifika nitalinganisha na hili la Iringa ingawa najua huko lazima pawe kiboko
 
Mifindi, kuna siku nilipita asubuhi kitokea Mbeya ni ukungu balaa halafu watu ngozi zao ni za kijivu
 
Wakuu bila shaka ni wazima,

Mimi ni mtu naye penda sana kitu inaitwa hali ya hewa. Kuna jamaa anatoka Makete aliwahi nisimulia baridi ya huko. Nikasema isiwe kesi nikatinga msimu wa baridi mwaka jana. Aisee ni noma. Ila jamaa wamelizoea. Kama mgeni hutakaa urudi tena. So far nimetembelea.

1. MAKETE
2. NJOMBE
3. MAKAMBAKO.
Bado MUFINDI NASIKIA NAKO SI HABA.
Hii ni nyanda za juu kusini.

Hebu tupeane update wilaya zenye baridi na linakuwa msimu upi sana.

Nawasilisha.
Mkuu, jitahidi pia kutembele Wilaya ya Lushoto mwezi wa Sita na wa Saba halafu utazidisha Ufahamu wako kuhusu Wilaya zenye Baridi Tanzania...
 
Makete no.1
Mufindi no.2
Njombe inamalizia
Watu huwa wanachanganya baridi ya makete na Mufindi huwa sio kila muda,ni ya kipindi ndio huwa Kali.
Tanzania nzima baridi Kali ipo Wilaya ya Njombe Mjini,ambayo ni baridi siku zote na muda wote asubuhi hadi usiku
 
Tukuyu ndo sehemu pekee Tanzania ambayo mpaka snow inaanguka huku saiv joto linasoma -10 °C
 
katka mkoa wa Tanga kuna
1.Tarafa ya Amani iliyopo wilaya ya Muheza, kuna babari sana, huko mvua ni wakati wote, kuna baridi sana
2.Lushoto pia kuna baridi sana
 
Rafiki yangu sasa hivi Salasala Dar ukifika usiku kuna baridi balaa, kidogo nimwage bia kwa kicheko!
 
Kyala marangu njia ya kupanda mlima kilimanjaro kipindi iki ni freezing kbs hunywi maji wa huogi
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom