Wilaya mpya ya Kisesa-Mwanza

Wilaya mpya ya Kisesa-Mwanza

agatthi

Senior Member
Joined
Apr 13, 2016
Posts
146
Reaction score
175
Kuipata Wilaya ya Kisesa Jimbo la Usagara Imefanyika kama ifuatavyo.

Wilaya ya Misungwi imetoa Kata 04 yaani
1. Kata ya Idetemya
2. Kata ya Usagara
3. Kata ya Fella
4. Kata ya Kanyerere.

Wilaya ya Magu imetoa yaani
1. Kata ya Kisesa
2. Kata ya Bujora
3. Kata ya Bukandwe
4. Kata ya Bujashi
5. Kata ya Mwamanga
6. Kata ya Kongoro

Wilaya ya Ilemela imetoa kata 03 yaani
1. Kata ya Nyamhongolo
2. Kata ya Sangabuye
3. Kata ya Kayenze

Hizo ndizo kata zitakazo unda Wilaya ya Kisesa Jimbo la Usagara.
 
Imeanza lini,, imetangazwa wapi,,
Dukuduku langu ni kuhusu stand mpya ya mabasi Nyamhongoro ambapo halmashauri ya Ilemela imeweka mabilioni pale,, itakuwaje,,?
 
Inaanza lini
 
Imeanza lini,, imetangazwa wapi,,
Dukuduku langu ni kuhusu stand mpya ya mabasi Nyamhongoro ambapo halmashauri ya Ilemela imeweka mabilioni pale,, itakuwaje,,?
Imetangazwa lini ? Au ni stori za kusadikika

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Inaanza lini
Tetesi, na ukwel ndani yake.
Aliahidi bwana kuba wakati campaign akiwa njiani kuingia jijini Mwz akitokea Musoma .

Odhis *
 
Makao Makuu ya hii wilaya mpya yatakua wapi,,?
 
Kuipata Wilaya ya Kisesa Jimbo la Usagara Imefanyika kama ifuatavyo.

Wilaya ya Misungwi imetoa Kata 04 yaani
1. Kata ya Idetemya
2. Kata ya Usagara
3. Kata ya Fella
4. Kata ya Kanyerere.

Wilaya ya Magu imetoa yaani
1. Kata ya Kisesa
2. Kata ya Bujora
3. Kata ya Bukandwe
4. Kata ya Bujashi
5. Kata ya Mwamanga
6. Kata ya Kongoro

Wilaya ya Ilemela imetoa kata 03 yaani
1. Kata ya Nyamhongolo
2. Kata ya Sangabuye
3. Kata ya Kayenze

Hizo ndizo kata zitakazo unda Wilaya ya Kisesa Jimbo la Usagara.
Kwa hiyo wameunda na jimbo jipya? Na kwa nini waliite Usagala na siyo Kisesa?
 
Back
Top Bottom