WIKIPEDIA wamkaanga Edward Lowassa, sijui ataponea wapi huyu bana

Hao wazungu marafiki wa ccm ni wezi wanajua Lowasa akiingia madarakani hawaibi tena,kwa taarifa yako na wao hata waseme nini Kuichinja ccm kuko pale pale.
 
Kila mtu anaandika atikovyake kule hata mini kipindi flani nimekua mwandishi wa baadhi ya atiko za wikipedia na nilishawahi kujiandika kama mtu maarufu Tanzania wakati hata majirani zangu tu hawanijui.

kweli wewe kichwa ndio mtu
 
Hayo yote tuliyajua kitambo lakini kura tutampa.....mtoa mada wakaa wapi weye, au wakalia kigogo.

Wikipedia imemuelezea vizuri sana na kufuta uongo wote. Ukifungua link utaelewa vizuri. Wamejibu swali kuhusu Richmond pia kuhusu utajiri. Mabadiliko yanawezekana. Tuchague lowasa Tuchague mabadiliko.
 
Makamu Mwenyekiti wa zamani wa BALICHA ,aliyetimuliwa kwa usaliti naona unavyohangaika,kwa ID tofauti tofauti.Endelea kupopoa maembe kwa gololi.
 
Wikipedia bahati mbaya hawapigi kura Tanzania na wala hawana kikatio. Suala la msingi ni kuiondoa CCM madarakani hata kwa kumsimamisha punguani agombee urais, wengi tutampa kura. Kwani huko CCM nani ni msafi??

Tiba
 
Kwani wao ndiyo wanamchagua?Walishindwa na Kenyatta.Watanzania ndiyo wenye hakinya kuamua Fisadi yupi awaongoze Magufuli au Lowassa na si mzungu wa kabila yoyote ile.

Hata Kagame wanamnanga lakini wananchi wamempa ridhaa ya kuwaongoza tena..hao wazungu wachonganishi tu.
 
Wikipedia is a free Encyclopedia anyone can edit, kama wewe umeshafanya research au dissertation yeyote huwezi uka cite (citation) Wikipedia.
 
Alyekuambia Wikipedia inaandikwa na wazungu ni nani? Unajau jinsi ambavyo habari zinapatikana wikipedia?. Hata wewe unaweza kuandika tu chochote mule na ndio mana it has never been a reliable source of information. So inawezekana haya yaliyoko huku yameandikwa na mmoja wa maadui wa Lowasa.

Kaka zangu, hebu pakueni wenyewe muone jinsi wenzetu wazungu walivyoandika historia ya Edward Lowasa. Hakika inahuzunisha na inasikitisha. Nilijua haya mambo anasingiziwa kumbe hata wenzetu wazungu wanamuona vivyo hivyo. Kwa ujumla wake Lowasa ni fisadi na mtumiaji vibaya wa madaraka
View attachment 275620View attachment 275621View attachment 275622View attachment 275623View attachment 275624View attachment 275625

https://sw.wikipedia.org/wiki/Edward_Ngoyai_Lowassa
 
Wikipedia yeyote anaruhusiwa ku edit. Hata sasa naweza nika edit kumpamba au kumchafua.

Na hii jee?

11. (C) While the immediate reason for PM Lowassa tendering his resignation was his implication in the illegal procurement of the energy contract with Richmond, Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years. In addition, rumors of a cabinet shake-up had been rampant since the conclusion of the CCM's Party Congress on November 5, 2007. As a result of CCM elections for the party's National Executive Committee, several of President Kikwete's close circle took on new roles in the party. Other CCM stalwarts were moved to "lower" positions, indicating that Kikwete was maneuvering to distance himself from ministers and others with reputations for lining their pockets.

Huyo ni Balozi wa Marekani nchini Tanzania akipeleka report yake Washington kuhusu Lowassa. Unaweza kujisomea madudu ya Lowassa yanayojukiana duniani kwenye link hiyo hapo chini, usifikiri Kikwete alimtema uwaziri mkuu kwa na CCM ikamtema kugombea urais kwa bahati mbaya.

Source: https://wikileaks.org/plusd/cables/08DARESSALAAM98_a.html

Na sasa kadhihirisha kuwa si yeye tu bali hata upinzani ni mafisadi, hususan wale aliowezza kuwanunuwa kwa thamani ya utu wao.

Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa kwanini kasusa?

Hasafishiki huyo.
 
Last edited by a moderator:
So long Wikipedia ni chanzo cha habari, ni vema tukaitumia then analysis tukaifanya kwa mtazamo wetu. By the way, nampongeza Hot Lady kwa kulibaini hili. Hakika Lowasa hana thamani tena
we lizaboni ndo nape,we kama hana thamani mbona unatetemeka ukimsikia,thamani ya mwanasiasa ni kuwa na watu,lowasa ana mtaji wa watu na si kidudu mtu kama wewe
 
Na hii jee?

11. (C) While the immediate reason for PM Lowassa tendering his resignation was his implication in the illegal procurement of the energy contract with Richmond, Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years. In addition, rumors of a cabinet shake-up had been rampant since the conclusion of the CCM's Party Congress on November 5, 2007. As a result of CCM elections for the party's National Executive Committee, several of President Kikwete's close circle took on new roles in the party. Other CCM stalwarts were moved to "lower" positions, indicating that Kikwete was maneuvering to distance himself from ministers and others with reputations for lining their pockets.

Huyo ni Balozi wa Marekani nchini Tanzania akipeleka report yake Washington kuhusu Lowassa. Unaweza kujisomea madudu ya Lowassa yanayojukiana duniani kwenye link hiyo hapo chini, usifikiri Kikwete alimtema uwaziri mkuu kwa na CCM ikamtema kugombea urais kwa bahati mbaya.

Source: https://wikileaks.org/plusd/cables/08DARESSALAAM98_a.html

Na sasa kadhihirisha kuwa si yeye tu bali hata upinzani ni mafisadi, hususan wale aliowezza kuwanunuwa kwa thamani ya utu wao.

Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa kwanini kasusa?

Hasafishiki huyo.

Hawa watu hawaaminiki katu. Ukiwapa vitalu vya gesi na mikataba ya kinyonyaji tayari unakuwa rafiki yako na watakusifia. Ukienda kinyume nao ni adui kwako. Kiufupi hawana rafik wala adui wa kudumu. Cha muhimu Watanzania wenyewe waamue, kama ambavyo Wakenya waliamua na mwisho wakakosa namna bali ni kuheshimu kuwa Rais wa Kenya ni Uhuru Kenyatta , japo wao walikuja na Propaganda kibao, lakini baada ya wananchi kuamua wote ni mashahidi hata hao US inabdi wakubali tu kuwa Uhuru Kenyatta ndiye Rais wa Kenya kwa matakwa ya Wakenya.
Hivyo basi hiyo link haiwez kuwa kigezo cha kukataliwa Lowassa na wananchi wa Tanzania.

Itafutwe namna nyingine ila kwa hapo Lowassa ataibuka mshindi!
 
Last edited by a moderator:
Kaka zangu, hebu pakueni wenyewe muone jinsi wenzetu wazungu walivyoandika historia ya Edward Lowasa. Hakika inahuzunisha na inasikitisha. Nilijua haya mambo anasingiziwa kumbe hata wenzetu wazungu wanamuona vivyo hivyo. Kwa ujumla wake Lowasa ni fisadi na mtumiaji vibaya wa madaraka
View attachment 275620View attachment 275621View attachment 275622View attachment 275623View attachment 275624View attachment 275625

https://sw.wikipedia.org/wiki/Edward_Ngoyai_Lowassa

Wikipedia haiandikwi na wazungu peke yake. Hata nyie hapo Lumumba mnaweza kuandika humo chochote mkishavimbiwa maharage yenu...
 
hot lady
umedhihirisha upeo mdogo....pole....Wikipedia is open for free editing. you cn add or remove any thing at any time
 
Back
Top Bottom