WIKIPEDIA wamkaanga Edward Lowassa, sijui ataponea wapi huyu bana

Wikipedia ni jukwaa kila mtu anaweza kuweka post yake... Linazidiwa ubora hata na JF..!!

Miafrika bwana yaani eti "mzungu"....
Hata kama hao Wikipedia hawatampigia kura sisi tutampigia kura kwa wingi wetu..!!
 
Kikwete alikuwa anaanguka kila mara lakini huyooooo kapiga escrow, kapiga epa, kapiga richmond na amemalizia mikataba feki/sheria za madini anaenda zake baada ya miaka kumi.
 
Mburula wewe. Wikipedia hata wewe wawezaianzisha. Wazungu wanatoka wapi hapa?
 
Pole sana Mwandishi wa post hii kwa elimu yako ndogo. Ungejua kuwà post yako inakudhalilisha usingeiweka. Wikipedia kwa MTU mwenyeuelewa hawezi sema imeandikwa na Wazungu maana MTU yoyote anaweza kuiandika. Kama wewe sio mbumbumbu basi litakuwa ni wewe umepost hiyo Wikipedia ili uwadanganye wenye uelewa mdogo kama wewe
 
Mwaka huu hadanganyiki mtu kudadeki,hata wakimroast kabisa bado kura twampa
 
Yaani wewe inaonyesha ndo mara ya kwanza kuckia wikipedia ungekuwa msomi kdg ungekubali kuwa hata baadhi ya material yao uki-search yako wrong so aliye kutuma ni mjinga mwenzio eti uje ututishie wazungu kwani wao ni kina nani? Acha umbea.
 
Wikipedia ndo ccm inako tafutia nondo? Mbali na hayo huwezi kumshutumu Lowasa ccm ikasalimika
 
Sio wazungu ni wabongo tu huyu jamaa atashinda kama Zuma maana anafitiniwa tu hana ufisadi wowote, binafsi naamini kama angekua fisadi asingepata ujasili wakuhama.
 
Back
Top Bottom