msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
Leo nimepata kusoma wikipedia page ya East African Community, na nimesikitishwa kwamba imeandikwa kwa kusifusifu Kenya. Nadhani sijakosea nikisema kwamba itakuwa imeandikwa na Mkenya. Naomba tushirikiane na mtu humu JF tuiedit na sisi tuitangaze nchi yetu huko nje kiutalii na fursa za uchumi! Wenzetu wanatumia ujanja huo kuitangaza nchi yao kwamba ndiyo kila kitu hapa Afrika Mashariki, lakini naamini na sisi tukiamka hawatuwezi! Wazalendo mpo?
East African Community - Wikipedia, the free encyclopedia
East African Community - Wikipedia, the free encyclopedia