WIKIPEDIA Names people behind EPA Scam and was to finance Jakaya Kikwete Elections

nimeisoma naona kua wale wahind bogus pia wapo-ambao hii serikali bado inawakumbatia
hii nchi sijui inakwenda wapi
 
Watasema Wikipedia ni Branch ya JF au vice versa, ilhali mchawi apatikane
kilichosababisha hata jf kuanza kuhisiwa kuwa ni ya cdm ni pale mtu yoyote akisema ukweli ukweli kuhusu cdm hatakiwi
 
kilichosababisha hata jf kuanza kuhisiwa kuwa ni ya cdm ni pale mtu yoyote akisema ukweli ukweli kuhusu cdm hatakiwi

Inategemea umesema nini........ukisema utumbo (kama wengi wenu wanvyoagizwa waseme) utakosolewa tu........
 
Wikipedia kama JF, wee kama una data labda unaona hawajaandika, bonyeza kitufe cha 'EDIT' kisha ongezea; kumbuka kuweka references.
 
According to Wikipedia Sources Kigoda as a leader behind many financial scams Tanzania has ever seen. Under former President Benjamin Mkapa, Kigoda as a member of inner sanctum made a lot of money thanks to being easily used by the regime and some Indian bogus investors He serves as the minister in the President Office for Planning and Privatasation.

He could not be able to serve without assistance from Basil Pesambili, Juma Ngasongwa, Rostam Aziz, Lowassa they used EPA scam under which Chama Cha Mapinduzi (CCM) the ruling party stole billions of shillings from central bank to finance their investments to the elections that saw Jakaya Kikwete Win.

mhhh na wasiwasi na hii habari kama uzushi hivi
 
Big Up!!! Wikileaks, Wikipedia thanks we appreciate your good work kufumua siri za wezi wa nchi yetu
 
WIKIPEDIA is The Free Encyclopedia which gives out news, articles, discussions and history of any known person i.e our former ministers and leaders.

I'm trying to locate Bank of Tanzania EPA fraud external auditors report (imeondolewa kila mahali)

What a shame to have such a history to make mpaka una kuwa refered na Encyclopedia! Yaani wamekuwa a term as far as ufisadi is concerned in Tanzania in the world dictionary; pole yao kubwa!
 
kwani hii ni siri basi? salama yao ccm iendelee kuwa madarakani. ikitokea vinginevyo...kutawaka
 
kaka nimefungua ( Bank of Tanzania EPA fraud external auditors report) mambo yako hadharani i don't they will have any thing

to deny
 
Wikipedia mtu yeyote anajiandikia anachokitaka na kama hakuna mtu ambaye atalalamika basi uwongo au ukweli huo unaendelea kuwepo. Ndio maana Wikipedia hairuhusiwe kuwekwa kama reference kwenye papers za kisomi. JF ni bora mara kumi ya Wikipedia.

Mtu anaweza kutoa haya tunayoyaandika hapa na kwenda kuyabandika Wikipedia. Ndio maana kwenye profile ya JK, kuna watu wamelalamika kwamba imeandikwa habari za uongo kumkweza JK.
 
haya mabo yamewekwa ht kwenye hiyo encylopedia kumbe hakuna siri ya ushindi wa jk 2005. Sitashangaa nikisikia Nape au mzee Msekwa akisema "Wikipedia ni ya CDM imeanzishwa nje ili tusiwafungie"
 
Back
Top Bottom