Wikiendi imenimalizia hela

Ile siku ya idd 2 nilibaki na mia 2 mfukoni,0 mpesa na 400 kwenye atm..
 
Ukiwa NMB fanya transactions ziendanazo na NMB. Sasa mwenyewe unachukulia pesa NMB halafu unataka matumizi ya EXIM.... #usirudie
 
Ukiwa NMB fanya transactions ziendanazo na NMB. Sasa mwenyewe unachukulia pesa NMB halafu unataka matumizi ya EXIM.... #usirudie
 
Hamia Stanbic Bank uta injoi aisee................
 
Usicheke mkuu tena hiyo bati 2 nilimmaind kinoma baamedi aliyetaka kuchukua eti "kip chenji'
Duh...mkuu sasa ungemwaga bia ya mtu bahati mbaya ingekuwaje hahahaaa
 
Hamia Stanbic Bank uta injoi aisee................
Usnambie wao wanaongeza sifuri tatu mbele....hebu sema vizuri niende sasahivi hata kama wana-add sifuri mbili tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…