wikiendi hii ndani ya bongo dsm tutafutane kwa mtoko. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wikiendi hii ndani ya bongo dsm tutafutane kwa mtoko.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kaka mwisho, Jul 7, 2012.

 1. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  nimengia dar baada ya majukumu mazito niliyokuwa nayo mkoani. Nahtaji kampani, raha ya mtoko wa wikiendi muwe 2 na kuendelea. Tutafutane watu dsm.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  sasa mbona umenipita hapa geti la ubungo?
  Mie ndio nafungua geti.
   
 3. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Msaidie mwenzio....kaja na viazi huyo
   
 4. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  jamani sio kila anayetoka mkoani anapoingia dsm anakuwa na vifurushi. Muda si mrefu ndio tumetoka hapa airport
   
 5. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Njoo Vienna Pub,Tabata hapa....watu bata ndio zimeanza tena zile za ki-Don..ucpime!
   
 6. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Sasa aliyekwambia ndege haibebi viazi nani ?
   
Loading...