Zahra White
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 598
- 576
Zahra White hahahaaa unaniacha hoi na "mu" zako manake lazima nikodoe weee kabla sijawezakuelewa ulichokuwa unamaanisha! mu Bujibuji atakuletamo na mu amu atakupokeamo! Karibu sana!
cc Mtambuzi
ha ha best umeona eee eti mu tena wakimnanihii utasikia MUNIKOME MUNIWACHE
mie nitakuja kusikia sasa kontessa zikipanda sijui mu zitakuwa ma?!?! eti mumama tajiri Zahra White???

Na mimi nahitaji kukuja huko muleo mutupo hapa.kwa sasa niko kwa makumbusho
Chinekeeeee......
niache mie anipitie nioshe nyota na mueksi faivu
Wkend mi nilisha ianza jana. Jana nilikuwa Mtwara, leo niko A town, kesho Iringa kwa Mwangosi na Jumamosi ni DSM kwa Ulimboka na KibandaNa mimi nahitaji kukuja huko muleo mutupo hapa.kwa sasa niko kwa makumbusho
Bujibuji sio mtwara mutwara....Wkend mi nilisha ianza jana. Jana nilikuwa Mtwara, leo niko A town, kesho Iringa kwa Mwangosi na Jumamosi ni DSM kwa Ulimboka na Kibanda
mu asubuhi muko makumbusho
muwe munasubir muda za jioni tukifturu
mie nitakuja kusikia sasa kontessa zikipanda sijui mu zitakuwa ma?!?! eti mumama tajiri Zahra White???