Wikiend

Only for kanda ya ziwa. Sijawahi ziona DSM. Hawa TBL wabaguzi sana
 
Usawa Wa magufuli watu wanakunywa eagle, balimi, plisner n.k
 
Magufuli alivyobana, hii kitu unaionja pay day tu, na ukifanya kosa la kufika nyumbani kabla hujaionja basi sahau, ni mpaka mwezi unaokuja.
 
Aiseeee kirukuuu nimecheka kinoma yaani kuna dereva anazipiga kijiweni Nouma
 
Basi kuendana na kasi ya kiuchumi ukipiga hako na ka konyagi kako ka 3500 ukimaliza hapo safiiii mtalo unaouona kama swimming pool majengo yanaelea elea housegal unamuona ka mkeo unackia raha mwenyeww
 
[emoji23] [emoji1] [emoji23] [emoji1]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…