Wiki ya tatu sijapata kitu. Naumia sana

Wiki ya tatu sijapata kitu. Naumia sana

Iko shida hapa. Kwa huu mwandiko ni ngumu kupata demu. Na wanaume wa hivi huwa wanakuwa mabwege kwenye mapenzi.
 
Sijui mwenzenu niisije, hali yangu ni gumu. Kwa shughuli zangu za duka kila siku wanakuja wanawake wazuri wazuri kununua nguo dukani mwangu.

Nasikitika hao wote nawaona lakini nimekuwa mwoga toka niwe na yule mwanamke ambaye ananisumbua sana kiakili, nawaza sana nitaishije sipati penzi? Wiki ya tatu hii hamuna kitu kwangu.

Naumiza sana
Kwani kipande cha sabuni bei gani unaumiza nafsi kiasi hicho
 
Kwani unapoteza nini ukikaa bila kufanya mapenzi? Ogopa zinaa uiandae akhera yako usijilazimishe kuingia sehemu isiyo sahihi kwa tamaa za nafsi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom