tshabalala_the_greto
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 452
- 229
Kwendaaaaaaaaa...... hadi sasa
1: UDA iko inadunda na Riz1 anadunda tu...
2: ESCROW wezi wana dunda tu
3: Walio uza twiga wako wanatanua..
4: Wauaji wa Tembo wako huru tu
5: Mikataba ya gesi, mafuta na madini hakuna kitu amesema hadi sasa, inabakia siri hata kufanyia review hakuna, ndio nn
6: TRL, mabehewa feki, hakuna kitu amesema...
7: ATCL, Magufuli kakaa kimyaaa... why
8: Drug lords wako wanatanua tu, Nzowa si anawajua wote, Magufuli angetoa order tu wanawekwa ndani... Nzowa anaowajua wooote
9: Bandari ya UFISADI Bagamoyo, hata BUNGE haijui nn kinaendelea, Magufuli kakaa kimyaaaaaaa, kama haoni, Bagamoyo port is the biggest disaster to our country, bcoz there are rumors that will be operated 50yrs FREELY and without tax, by CHINESE ARMY... that is the most worst ever contract our country could have, na ukifuatiwa ule wa Mafuta na Gesi, ulipitishwa bungeni kwa dharura kama vita vile...
10: Umiliki wa Lake Oil, Lake Gas, utata mtupu, wachunguzwe wamiliki wake... it looks JK family owns it... ni kosa kubwa...!!! Ila waarab ndio wanasimamia...
11: Home Shopping Center, Magufuli kakaa kimyaaaaaaaaa... 😨 kwani
hajui jamani..?
12: IPTL... IPTL... IPTL... IPTL... esp. capacity charges... kila mwezi inapokea tsh. 4 bil, as capacity charges... na kinyume kabisa na maagizo ya Bunge... na Magufuli yuko kimyaaaaaaaaaaaaa😨😠😠
13: TANAPA.... NCAA, na WANYAMA PORI ni wa kupiga chini haraka sana viongozi wao.... huko ufisadi ni wa kutisha, hasa ktk VITALU VYA UWINDAJIIIIIII
Mm naona kakomaa na TRA tu, ni sawa kaanza vizuri hatukatai, lkn je na hao wengine..?
Mmmh ina maana hujaona chochote cha maana kilichofanyikaHakuna kitu........tunaowataka mbona wanakwepwa........sarakasi tu hizi na senema zisizo na mashiko........
akiniletea aliyesafirisha twiga.......na kuua tembo.......ndio nitaona kuna jipya........vinginevyo........ mvinyo ule ule chupa mpya........hatulewi ng'ooooooooooooooo............
Kwendaaaaaaaaa...... hadi sasa
1: UDA iko inadunda na Riz1 anadunda tu...
2: ESCROW wezi wana dunda tu
3: Walio uza twiga wako wanatanua..
4: Wauaji wa Tembo wako huru tu
5: Mikataba ya gesi, mafuta na madini hakuna kitu amesema hadi sasa, inabakia siri hata kufanyia review hakuna, ndio nn
6: TRL, mabehewa feki, hakuna kitu amesema...
7: ATCL, Magufuli kakaa kimyaaa... why
8: Drug lords wako wanatanua tu, Nzowa si anawajua wote, Magufuli angetoa order tu wanawekwa ndani... Nzowa anaowajua wooote
9: Bandari ya UFISADI Bagamoyo, hata BUNGE haijui nn kinaendelea, Magufuli kakaa kimyaaaaaaa, kama haoni, Bagamoyo port is the biggest disaster to our country, bcoz there are rumors that will be operated 50yrs FREELY and without tax, by CHINESE ARMY... that is the most worst ever contract our country could have, na ukifuatiwa ule wa Mafuta na Gesi, ulipitishwa bungeni kwa dharura kama vita vile...
10: Umiliki wa Lake Oil, Lake Gas, utata mtupu, wachunguzwe wamiliki wake... it looks JK family owns it... ni kosa kubwa...!!! Ila waarab ndio wanasimamia...
11: Home Shopping Center, Magufuli kakaa kimyaaaaaaaaa...  kwani
hajui jamani..?
12: IPTL... IPTL... IPTL... IPTL... esp. capacity charges... kila mwezi inapokea tsh. 4 bil, as capacity charges... na kinyume kabisa na maagizo ya Bunge... na Magufuli yuko kimyaaaaaaaaaaaaa
13: TANAPA.... NCAA, na WANYAMA PORI ni wa kupiga chini haraka sana viongozi wao.... huko ufisadi ni wa kutisha, hasa ktk VITALU VYA UWINDAJIIIIIII
Mm naona kakomaa na TRA tu, ni sawa kaanza vizuri hatukatai, lkn je na hao wengine..?
hahaha apo nimekupata vyema mkuuUnahangaika na Preta? Huyo ni KITI au KITU maalum cha chadema. Si unajua maana yake?
bila mikono huyo msanii angetulia tuli sasa hivi ndio maana Magufli anaigiza mazinga hombweKamanda endelea kuzungusha mikono...
Ndugu zangu, Rais JPM amedhamiria. Kuanzia Jumatatu, Desemba 7 Tanzania itashuhudis mtikisiko mkubwa kuanzia Bandari, TRA na Mkoa wa Arusha. Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Wizara ya Nishati na Madini zitafikwa na mambo mazito. Naomba wana JF muwe tayari kuyashuhudia hayo mambo. Tanzania mpya imewadia.
Mfupa huu ni mgumu sana, Magufuli hauwezi. Yetu macho.
Ulivyotoa Uzi ulipingwa Sana..sasa wameonaNdugu zangu, Rais JPM amedhamiria. Kuanzia Jumatatu, Desemba 7 Tanzania itashuhudis mtikisiko mkubwa kuanzia Bandari, TRA na Mkoa wa Arusha. Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Wizara ya Nishati na Madini zitafikwa na mambo mazito. Naomba wana JF muwe tayari kuyashuhudia hayo mambo. Tanzania mpya imewadia.
Ndugu zangu, Rais JPM amedhamiria. Kuanzia Jumatatu, Desemba 7 Tanzania itashuhudis mtikisiko mkubwa kuanzia Bandari, TRA na Mkoa wa Arusha. Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Wizara ya Nishati na Madini zitafikwa na mambo mazito. Naomba wana JF muwe tayari kuyashuhudia hayo mambo. Tanzania mpya imewadia.
Ndugu zangu, Rais JPM amedhamiria. Kuanzia Jumatatu, Desemba 7 Tanzania itashuhudis mtikisiko mkubwa kuanzia Bandari, TRA na Mkoa wa Arusha. Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Wizara ya Nishati na Madini zitafikwa na mambo mazito. Naomba wana JF muwe tayari kuyashuhudia hayo mambo. Tanzania mpya imewadia.
Kwenda zako JPM siyo wa hivyo mmemzoea Jk kutoa siri zake siyo huyu mtu aloo.
Leo umesikia kaanza na bandari na katibu wizara ya uchukuzi hupo??Kwenda zako JPM siyo wa hivyo mmemzoea Jk kutoa siri zake siyo huyu mtu aloo.
Wengi wapo kwa Sangoma na wale Waganga wa kienyeji walioletwa na Membe na January kwa ajili ya kampeni bado wapo Tanzania hawajarejea Nchini kwao Gambia, Mongolia nk , January sasa kawageuza Mladi mkubwa anapiga pesa kupitia wao, wapo viongozi wengi wanamimika huko kwa ajili ya kwenda kutuliza mizuka ya Magufuli na kusaka Uwaziri , Ukuu wa mikoa, wilaya na balozi nje ya Nchi.Ndugu zangu, Rais JPM amedhamiria. Kuanzia Jumatatu, Desemba 7 Tanzania itashuhudis mtikisiko mkubwa kuanzia Bandari, TRA na Mkoa wa Arusha. Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Wizara ya Nishati na Madini zitafikwa na mambo mazito. Naomba wana JF muwe tayari kuyashuhudia hayo mambo. Tanzania mpya imewadia.
Hauna akili wewe..Lowest IQ kabisa..Hakuna kitu........tunaowataka mbona wanakwepwa........sarakasi tu hizi na senema zisizo na mashiko........