Wiki ya kishindo cha JPM inaanza Desemba 7


Wewe Acha Hisia Toa Ushahidi Na Habari Zako Za Vijiweni
 
Iv yule ndugu yko alie olewa kasha rudi juzi nilikuona sakina dada umenona sn kesho ntapita tena hahahahah mic u ..

Aisee........basi sawa...........
 

Mmmmh!
 

Kakuambia nani?
 

Kwani magufuli ana muda gani paka uwe na shaka? Prezda ana kama mwezi ivi afu kakupa tilioni moja na zaidi.
 
Kamanda mbona umemsahau kinara wa Richmond,tunalipa Tshs.milioni 250 kwa siku mpaka kiama kwa ajili yake


Hujui Richmond ni ya JK... hadi alimpeleka Obama ktk mitambo ya Richmond... ebooo... unajifanya hujui au...!!?
 
Asante sana jay one umeyasema yote,hakuna lolote mbwembwe tu.Hawezi kazi,afunge stanibic bank tuone,mikataba,katiba etc
 


I can tell you openly... kwa CCM, niwe mkweli MTU PEKEE NAMWAMINI sana ni Mh. RAIS Magufuli tokea akiwa Waziri hadi sasa namkubali... follow my posts... ila sasa LAZIMA ALALE NAO MBELE... Rais ana madaraka yote... hakuna aliye juu yake... hatakiwi kuogopa mtu...kama mtangulizi wake JK alifanya madudu na mauchafu, Magufuli he has to CLEAR kabisa... so hakuna cha waarabu wala mama yake na waarabu... bullshit.. kwani waarabu ni nani... mmaaaninaaaaa...!! Waarab... ? 😨😠

Tena Magufuli ndio namwamini kwa watu kama hao, hana uhusiano nao kabisaaaaaa..

Nachomwomba aongeze speed kidogo na tumeona mazuri so far... ila kuna mambo kama niliyo yataja yako wazi ale nao sahani moja... sbb Rais anatamka tu, kazi inafanywa... na mm niwe wazi NAMPENDA SANA SANAAA MH. RAIS MAGUFULI... na i pray for him...na ni mzalendo kweli kweli... ila aongezeee speed na asione aibu kukamata vitu baadhi nilivyotaja na wahusika wakmatwe pia....

Najua 100 days zikitimia atakuwa labda kafanya hao na kusafisha safisha uchafu huu... kama hizi shule-za PRIVATE zilikuwa ni UCHAFUUUUU UCHAFUUUUU. ada mil 10 ebooooo.... safii Magufuli... but ongezaaa speed, tuko pamoja... ila usionee aibu mtu
 
Zungusheni zungusheni makamanda Pipoooooziiiiiiiiiii...lowasaaaaaaaaa.......mabadilikooooooooooo.....
 
ndugu yangu punguza mihemuko haya unayoyadai naamini atayatolea ufumbuzi ni mipangilio yake kaanza na TRA na TPA tumpe muda japo hata mimi nilipenda aanze na capacity charge ili wananchi tupate nafuu gharama za umeme kwa unit

Uko sawa... TRA na TPA kaanza nao safiii sanaaaa na SHULE ZA PRIVATE... na Safari za nje... pamoja na Semina, mikutano, warsha, sherehe za ajabu ajabu... Muhimbili... mm namkubali sana Magufuli... natambua mzigo mkubwa alionao kurejesha IMANI ya Watanzania ktk serikali yao... ila sasa aongeze speed.... lazima niwe na mihemko sbb TIME DOESN'T WAIT ANYBODY....

Kuna sehemu nyingiiiiik sanaaaa na lazima aende speed sana sanaaaaa... uozo ni mwingi sanaaaaa... na anajua kila sehemu chafu... ni kutoa AMRI TU.... time time time time is running out....😨😠

Namwamini, tatizo time... time...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…